Emelda Mwamanga(BANG) aelezea bifu lake na Jacky pamoja na the late Mengi

Angalia vizuri post zetu ni sie tuliosema hivyo au zile vuvuzela za insta? Dont panic hakuna anayemchukia jack humu
Naanzaje kupanik kwa yasiyonihusu mkuu? Nimetoa tu ushauri kwa wanawake majungu sio mtaji. Usifurahi mwenzio akipata tatizo leo maana hakuna aijuae kesho yakee
 
Majungu ni mtaji tosha kwa wanawake pote duniani teena na wanaume siku hizi nao wamo
Naanzaje kupanik kwa yasiyonihusu mkuu? Nimetoa tu ushauri kwa wanawake majungu sio mtaji. Usifurahi mwenzio akipata tatizo leo maana hakuna aijuae kesho yakee
 
Warumi Niko juu binamu, Sasa Mimi habari za mujini naanza kukosaje? Nimeanza umbea miaka hiyo, nashangaa humu watu wanakurupuka tu wanataka kushindana na Mimi , ahahahaah , mbea mie Nina kumbu kumbu hatari, kichwa kinahifadhi ma file tu kichwani

Ila Mimi nilikua fan mzuri tu wa BANG, Tena nilikua naendaga mpaka pale mikochen kwenye office zao , nilikua napenda sana kufanya kazi kwenye lile jarida, sema nilikuaga nasoma nje nakuja bongo na kurudi

Ila emelda Yule dada hanaga makuu jamani , mpole mwenyew mcheshi, Ila wanadamu mmh Ila Malipo hapa hapa duniani
Pesa mwana Izaya!
 
Warumi huu umbea umeutia chumvi. Walikubariana kabisa awapige picha na hakuwapiga kwenye tukio la kuvishana pete ilikuwa baada ila walivaa nguo za kwenye tukio na alisafiri akawafuata south. So kabla ya kuweka picha walikubariana atawatumia picha wachague ni zipi atakazotumia kwenye jarida na aliwatumia wakachagua akatengeneza jarida. Before halijatoka emelda akashangaa jacky kapost hizo picha na captions wakati makubariano ilikuwa hatofanya hvyo ili habari iwe exclusive. Sa kumhoji jacky jacky akamwijia juu na kusema amegairi hataki awatumie kwenye kijarida chake wakampga biti akilitoa wanampeleka mahakamani wakati imelda alikuwa ashaprint majarida anasubir kuyatoa
 
Ila mm niwe mkweli..sitaki kuside kwa Mange au Jacky...jaman..nna mume ndyo...sijawah fiwa na mume sawa nakubali kbs...ila jaman Jacky hata kulia??au ndo udhungu huo jaman...tatizo misiba ya matajri bwana...wanaremba na milipstick na misunglass juu...misiba ya wanyaki bwana wee😂😂😂..au ndo wale wenye uchungu rohoni??aisee...Jacky ameniacha na maswali mno jamn
manengelo una mume kumbe?! Siku zote najua wewe ni dume la mbegu. Ulimola poti?
 
Back
Top Bottom