Embu fungua hapa ujionee hawa watoto wetu wa karne hii

Watoto wanafundishwa mambo mabaya wangali watoo ili wakiwa wakubwa wawe Ma Super STar Ahhh huo ndio Ustaarabu wa Kimagharibi tunaoufuata tumeacha Tabia zetu tunafuata tabia za Wazungu Kasheshe kweli dunia yetu kwa kuiga sisi Wafrika mwisho........ young_Master
 
Haya sasa!! Hawa ndio watoto wetu!!! Je ni kweli kizazi cha NYOKA?? Mimi sitii neno hapa, Jionee mwenyewe LIVE! tena bila chenga halafu uniambie umeona nini.

Yesuuuuuuuuuuuuuuuuu, ni nini hiki. mamaaaaaaaaaaaaa DUNIA IMEKWISHA...... God forbid mwanangu asifikie haya madoudou make nahisi hiko kishichana haka miaka 15 bado... but kishaanza mambo hayo!!!!!!!! Young_Master we unaonaje ni sawa ama mbona hujatia neno? Afu hao wakubwa zima wanashabiakia ujinga!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Watoto wanafundishwa mambo mabaya wangali watoo ili wakiwa wakubwa wawe Ma Super STar Ahhh huo ndio Ustaarabu wa Kimagharibi tunaoufuata tumeacha Tabia zetu tunafuata tabia za Wazungu Kasheshe kweli dunia yetu kwa kuiga sisi Wafrika mwisho........ young_Master

Mkuu MziziMkavu ungependa kuwashauri nini wazazi wanaowafundisha watoto wao tabia hizi?
 
Last edited by a moderator:
Yesuuuuuuuuuuuuuuuuu, ni nini hiki. mamaaaaaaaaaaaaa DUNIA IMEKWISHA...... God forbid mwanangu asifikie haya madoudou make nahisi hiko kishichana haka miaka 15 bado... but kishaanza mambo hayo!!!!!!!! Young_Master we unaonaje ni sawa ama mbona hujatia neno? Afu hao wakubwa zima wanashabiakia ujinga!!!!!!!!

Mimi bado sijawa mzazi charminglady. nawaachia kwanza wazazi waongee halafu mimi nitasema mwishoni. Ila kilichonishangaza zaidi ni hao watu wazima kushangilia huo upuuzi wa watoto badala ya kuwakemea.
 
Last edited by a moderator:
Yaani ni jambo la kushangaza
maana hao watoto wameyaona kwa wazazi au kaka au dada zao wanafanya hayo
ina maana kama karuhusiwa kwenda disco na wazazi wake usitarajie jipya hapo
Malezi ni kitu kikubwa sana ila watu wanakichukulia so simple wanaacha house girl au house boy kuyafanya na matokeo yake ndio haya
Wazazi wako busy kutafuta pesa ila malezi wanasahau au wanasahau hizo pesa atatumia nani kama mtoto kashakuwa au kufikia hapo
 
You are 100% right Mr Rocky. So ungependa kuwashauri nini wazazi wenye tabia kama hizi?
 
Last edited by a moderator:
You are 100% right Mr Rocky. So ungependa kuwashauri nini wazazi wenye tabia kama hizi?

Young_Master muhimu ni wazazi kurudi katika mstari na kujua kuwa kazi ya malezi wanayo wao wale wasaidizi wa ndani ni just wasaidizi hawafikii asilimia mia za malezi
Wazazi wanatakiwa wrudipo nyumbani wajue watoto wao wameshindaje, wamefanya nini, wamejifunza nini kwa siku nzima, neno gani jipya wamesikia au tusi gani wamepata kutoka kwa hao wasaidizi na sio unakuja kushangaa mtoto anajua matusi yote wakati wewe mzazi hata kutukana hujawahi
Wazazi wanachangia asimilia kuwa sana kwenye kuwashape watoto wao na wanatakiwa kucheza nafasi kubwa sana kwenye kuwatengeneza watoto wao kuwa watoto wenye heshima na adabu
Ukitumia muda wako kwenye kutafuta pesa na kuliacha jukumu la malezi kwa hao wasaidizi usishangae kumkuta mwanao akiwa kawa hao wala sio ajabu
na hili la kurudi usiku wa manane umelewa matusi mdomoni na kuwakuta watoto wamelala na kuondoka kombora au kuchelea kuondoka mpaka watoto wameenda shule ndio unaamka hujamuona wala kumsikia mwanao wala hajakusemesha ni mbaya sana
 
Last edited by a moderator:
Mh!
Hii ni hatari.
Na wakubwa wapo pembeni wanashangilia tu.
Kweli haya sio malezi.
Halafu mbona huyo She anaonekana mkubwa kidogo kwa huyo He?
Hatari...!!
 
Mh!
Hii ni hatari.
Na wakubwa wapo pembeni wanashangilia tu.
Kweli haya sio malezi.
Halafu mbona huyo She anaonekana mkubwa kidogo kwa huyo He?
Hatari...!!

Ni urefu tu huo Madame B si unajua tena kuchi kuchi wanavyokuwa haraka kama kuku wa kizungu?
 
Last edited by a moderator:
tabia hyo huchangiwa na wazaz,imagine mzaz anampeleka mtoto disco toto akiwa na umr wa miaka 4 unadhan mtoto anajifunza nini? ndio mtoto nae anahitaj kutolewa out bt co kumpeleka disco.kuna michezo ming ya watoto na mizur ila co disco hta km ni la watoto.kingne ni video. unakuta mtoto kutwa kucha anaangalia music,hyo mtoto anajifunza nin kwny music,kuna movie nzur kwa ajili ya watoto tena zenye mafunzo na za kuchekesha km katun! me km mzaz napinga tabia ya kuruhusu watoto kwenda disco na kuwatchmusic/muvi
 
Back
Top Bottom