Embu fungua hapa ujionee hawa watoto wetu wa karne hii

unajua young master watoto cku zote ni watu wanaocopy kutokana na mazingira yanayowazunguka, tusiwalaumu sana watoto hao wanaocheza bali tujilaumu sisi wazazi why? pengeni watoto hao wameshawahi kuona kutoka kwa ndugu, majirani au wazazi na hasa wazazi wa kike kuna huu mtindo wa kusasambua tena hadharani mchana kweupeee mwanamke anavua nguo mbele ya watoto wao bila hata haya huku akicheza taarab kwa staili za ajabu! hivi watoto wanafundishika na kitu gani pale? baadae watoto watayanakiri na kwenda kucheza kama alivyoona, je wa kulaumiwa nani ni mtoto au mzazi? maana mtoto ukimwita wee mbwa njoo hapa! Na yeye ipo siku atakwita hivyo hivyo na ukimfundisha sema asante basi atasema asante kwa kila kitu anachopewa, wazazi na wasio kuwa wazazi tujiangalie.
 
believe or not, i saw this vid on facebook in mid 2011. i'm a very progressive person yet even i agree it's very bad, worse still the adults were cheering.
 
tooo much tv for kids..bongo fuleva na kina Jz wameshaharibu hiki kizazi..kwisha habari yao..hicho cha kike kitakua na bahati kama kikifikisha 18 bila ujauzito..
 
Back
Top Bottom