Embu chagua style yako unayotumia hapa..

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
2,553
Reaction score
1,293
mi nishatumia sana no 2 na 9..wewe je??

laptop use styles.jpg
 
Yeyote unaweza kutumia kutokana mahali husika ulipo.
 
Style zinazoshauriwa: 1, 4 , 6, 10, 13 na 15
Style mbaya (zisizoshauriwa): 2, 3, 5, 7, 8, 9, 11, 12, na 14

Reason: Laptop huwa zinatoa aina fulani la joto ambalo ukiipataka karibu na sehemu za siri (kwa wanaume) inainterfere na 'spermatogenesis' (processs ya kutengeneza mbegu za kiume) na kuweza kusababisha infertility (kupoteza uwezo wa kutungisha mimba).

NB: Sijui nini Unless una maana nyignine ambayo sijaielewa!
 
Kwa maelezo yako ,Laptop inaweza kuwa dawa nzuri ya Uzazi wa mpango kuliko kumlisha mama mavidonge kila asubuhi.
 
Back
Top Bottom