Email from James - Jeddah

Ushasahau mi ni kajukuu ka mtume? Hukumbuki nilikuambia ningekufumania kwenye masantula???

Endelea kusubiria ziara zangu za kustukiza....
 
Kwa taarifa yako, sherehe za Valentino zimefutwa.

Pole sana kitumbua cha Kasie.....😀😀😵
 
Skendo zote hizi, hii ni dalili una nyota ya siasa. Fanya mpango ugombee ubunge.
 
Fanya fasta basi Kasie tangu jana twasubiri ujue

Hahahahaaa ngoja ngoja yaumiza matumbo eeh
Japo naingia humu naandika haya niko na James hapa tutaongea mengi tuu mrejesho ni mrefu. Na anasoma kila nnachoandika hapa. Amesema anataka kuleta mrejesho yeye mwenyewe hivo vumilieni tuu. Mie mbona sio mchoyo wa habari atawasimulieni kila kitu. Tutarejea baadae naona maongezi yakanoga na maandalizi na mipango ya kesho. .... hata napata wasiwasi kama jumatatu ntaweza kwenda kazini.
 
Kumbe James anajua ki-Nyerere??
 
Kwa taarifa yako, sherehe za Valentino zimefutwa.

Pole sana kitumbua cha Kasie.....😀😀😵

Hahahahahaa babu ukorofi huo sasa.... tangazo likiwa rasmi tutaondoka na ndege ya jioni kuelekea nairobi au south afrika ambako hakuhitaji visa huko maadhimisho yataendelea bila kuingiliwa au kusitishwa na Magu.
James ana nia hadi ananiogopesha.
Hivi ndo alivosema James baada ya kusoma message yako.
 
Kumbe James anajua ki-Nyerere??

Msukuma huyu anajua lugha kama 4 hivi kisukuma na kiswahili kikiwemo achilia mbali kilugha cha kijeshi. Alinikosha zaidi aliponisalimia kwa kinyamwezi, ni mtundu hadi raha.
 
Ha haaa can't wait kwakweli.... Huo mrejesho ataweka kwa I'd hii yako ama
 
Msukuma huyu anajua lugha kama 4 hivi kisukuma na kiswahili kikiwemo achilia mbali kilugha cha kijeshi. Alinikosha zaidi aliponisalimia kwa kinyamwezi, ni mtundu hadi raha.
Khaa... Nahisi kadalili ka wivu kameanza kuninyemelea. Hivi yule mdogo wako ulishampa salamu zangu?
 
Da Kasie !! Wee mrudishe baba watoto wangu Mjr.Gen. James !!
nyie watanazania mnatuibie waume zetu. La sivyo ntakufungia safari hadi Kwenu Tanzania....
 
Haya mambo yetu sie vijana tunayaelewa we bibi keti kibarazani subiria shikamoo kutoka kwa wajukuu zako.....utaibika buree
 
Kasie mbona kimya jamani??? Tupe mrejesho mgegedo ulikuwa poa?
 
Ha haaa can't wait kwakweli.... Huo mrejesho ataweka kwa I'd hii yako ama

Hahahahaa tunaingia machakani hapa hapa Kempisk kupata chakula cha mchana sasa, we subiri tuu kaniambia atakuja kwa njia ya mshangao na watu wengi watashangazwa na kuachwa midomo wazi. Amesema ataitumia njia zote ID yangu, yake mwenyewe na ya hommie ......
 
Khaa... Nahisi kadalili ka wivu kameanza kuninyemelea. Hivi yule mdogo wako ulishampa salamu zangu?

Hahahahahaaa babuu hujasahau looh

Nilimwambia sema nae anamaringo Kasie anaafadhali. Ntakupatia namba zake useme nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…