Email from James - Jeddah

Hongera kwa kugongewa kempisk wako wanawake wenzako wengi wanandoto hyo" bila shaka sahv unakojozwa tu
 
Kasie asubh hii njoo utoe mrejesho
 
Kwa sababu kakupeleka maeneo salama kuwa na aman ila usikubal kutoka maeneo hayo usiku kwa kisingizio cha kwenda club bdae'"- Na kama umeridhika naye mpe tu yote ya raha zako! Ila duh wasichana wa siku hizi wepesi kwa style mimi nitachelewa sana kuoa!
 
Hivi Tanzania wana askari Jeddah SA....?
 
Hahaaaa we Kasie utafanya watu waanze kuhisi mimi ndo James- Jeddah.

Shauri yako.
Unatamani wewe ndo uwe James? Hahahaaa James ni msukuma mwenzio mmefanana baadhi ya vitu vitu hadi nachanganyikiwa πŸ˜›
 
Unaona sasa ulichokianzisha we Kasinde?

Kwingine kote umepatia ila hapo kwenye 'hint' tu ndo umekosea.

Ilikuwa lazima utaje kabila lake?

Damn you Kasie.

Sweet pie wala usihofu wataelewa tuu kuwa James ni msukuma mwenzio na sio wewe. Ila mnafanana hadi sijielewi. ....... au mlizaliwa mapacha hukuniambia?
 

Hahahahaa ndo maana nakupenda na sitoacha kukupenda. ......hata iweje...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Hahaaaa we Kasie utafanya watu waanze kuhisi mimi ndo James- Jeddah.

Shauri yako.
Ndugu yangu na komredi wangu James,

Unakuja mjini hata hunistui?

Kweli Kasie kakukamata.....

Doho tabu!!
 
Hahahahaa ndo maana nakupenda na sitoacha kukupenda. ......hata iweje...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Afu na bestman wa James niko tayari kusimamia show ya ndoa.

Isizidi October mwaka huu tafazali...
 
Sawa kila la kheri mkuu na ukigegedwa njoo na mrejesho..itasaidia kwa kufanyia uchunguzi "totoz huwa haziruki kugongwa 5star hotel"
Jambo la kihistolia hilo

Kheri yako imekuwa heri. Ntarejea baadae kuwapa nini kiliendelea.
 
Ndugu yangu na komredi wangu James,

Unakuja mjini hata hunistui?

Kweli Kasie kakukamata.....

Doho tabu!!

Hahahaaa Komredi ndo nini hivo bana....

Leo ni siku ya James Jeddah bana.

Usije ukamharibia bure siku yake maana kapata zali la mentali.
 
Hakuna mwanajeshi Mtanzania wa jina la James anaweza kuwa jeshini Jeddah, Saudi Arabia. Labda awe na uraia wa USA na awe jeshi la USA lililopo Saudi Arabia tena jeshi la USA halipo Jeddah, au awe ni mercenary, na mercenary hata siku moja hawezi kujijulisha kuwa yeye ni jeshi.

Au sana sana kama yupo Jeddah ni korokoroni wa shopping mall kwa kupitia njia za Abbas Mtemvu.

Changa la macho.
 
Hebu tupia foto basi tumuone James kama kweli sio Nyani Ngabu

Hapana naheshimu uhuru wa mtu, akiridhia ntafanya hivyo la ataweka yeye mwenyewe. Kwani picha ya Nyani unayo ili ikiwekwa ya James utajua kama ndo Nyani au sio?
 
Hahahaaa Komredi ndo nini hivo bana....

Leo ni siku ya James Jeddah bana.

Usije ukamharibia bure siku yake maana kapata zali la mentali.
Huyu Mjeda James.... anapaswa kufanyiwa kitu.
Hawezi kutuibia kifaa chetu mchana kweupe namna hii.
Kibaya zaidi mchuchu unamsifia hadharani...

Oh Gosh.... Ngabu is done!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…