Email from James - Jeddah

Paw hapo umemsalimia nani sasa?

Au umemsalimia mtu niliyemsweka kwenye 'ignore list' yangu ndo maana sioni uliyemnukuu [kama umemnukuu mtu]?
Ohooo!
Nilikuquote ila nilikuwa na speed kuliko uwezo wa device.
 
Hakika unaitendea haki professional yako, customer care 100%. Muhudu safi sana wewe, kwa kuwa huyo james ni kati ya wateja wako usijali hakuna baya hapo maana utakua una uzoefu wa kutosha tu so hatokusumbua
 
Jeddah ni Saudi Arabia
 
mwanajeshi msukuma anafanya nini Jeddah saudi arabia?
 
Pumbafuu si ulisema una mpenzi wako!
Si umesema jamaa kaomba urafiki tu?
Sasa ya nini kila saa unaenda kula kwa watu?!

Unapenda sana kuwahudumia wateja wewe..
 
Leo ndege mjanja kwenye tundu bovu
Ndugu zako tunakungoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…