Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,550
- 28,745
Source: trust me broMkuu kwa nn china ikisemwa negatively huwa unaumia sana, wakat wachina wenyewe huwa wanakiri ni wezi wa tech?
Source: trust me broMkuu kwa nn china ikisemwa negatively huwa unaumia sana, wakat wachina wenyewe huwa wanakiri ni wezi wa tech?
Kuna uelewa unaokosa kuhusu mifumo ya uendeshaji wa huduma za jamii kama maji na umeme katika nchi zinazoendelea. Kabla hujawalaumu matajiri wa katoro katika hilo fuatilia kwanza, je, mtu binafsi anaweza kuanzisha mfumo wa huduma za jamii kama umeme au maji kwenye mtaa wake?Naam sio wale mstajiri wa katoro, wanaendesha ma-v8 kwenye barabara za vumbi, na jirani tu watu hawana maji ya kunywa.
Kutegemea serikali tu kuleta maendeleo bila kujipenda wenyewe kwanza ni illusion tu
Na wewe uliuliza sababu ya yeye kusema hivyo?Waulize familia wakupe ukwelii
Alisha mfanya mtoto wake mmoja aseme yeye sio mzazi wake tena
usinilishe maneno kiongozi, back in 2013 kulikuwa na comp lab yenye ukubwa wa uwanja wa mpira china ikiwa imejaa hackers,Source: trust me bro
Jamaa hajui kwamba huyo Elon Musk yeye anawaogopa Wachina anakiri ndio namba moja kwa Sasa kwa TechSource: trust me bro
Umesema vyema mkuuJamaa hajui kwamba huyo Elon Musk yeye anawaogopa Wachina anakiri ndio namba moja kwa Sasa kwa Tech
Mtoto ni mtoto tu na mzazi ni mzaziNa wewe uliuliza sababu ya yeye kusema hivyo?