Kumwamini Yesu kunakuwaje ujinga? Au Yesu alikataza watu wasifanye uvumbuzi?Mijnga bado inaamini yesu
Wewe mbona hukunji? Mwenzio kaendelea ndo mana anakunjakukunja baiskeli nako ni maendeleo lakini😁😁
Safari bado ndefu Sana.waziri mkuu wa tz, "kuku wa kienyeji aitwe kuku wa kanda ya kati"
Elon hana tofauti na Thomas Edison wajanja wajanja na wahuni.Huyu jamaa ana akili sana aisee ile trip Trump alienda nae China matajiri wa China wakawa wanaomba kupiga nae picha sio mchezo jamaa ni kichwa sana..
Naam sio wale mstajiri wa katoro, wanaendesha ma-v8 kwenye barabara za vumbi, na jirani tu watu hawana maji ya kunywa.Hawa ndio matajiri wenye mchango mkubwa kwa jamii
Hahahaaa inasikitisha sana..Alafu sisi tumekaza kumjua nani amevunja katiba ya Simba
Thomas Edson uvumbuzi wake wa motion picture na vitu vingine mzee unamtaja kama mjanja mjanja daah..Elon hana tofauti na Thomas Edison wajanja wajanja na wahuni.
Ana akili za kawaida tu
Habari, karibu banda la Vodacom lililopo viwanja vya Nanenane Dodoma na ujipatie Simujanja ya mkopo kwa kianzio cha TZS 30,000 TU. Miliki simu, lipa mdogo mdogoMwanzilishi wa Neuralink, Elon Musk, anasema kampuni hiyo ya kutengeneza vifaa vinavyopandikizwa kwenye ubongo inapanga kupandikiza vifaa vyake vya kwanza vya kuona vinavyojulikana kama Blindsight ndani ya miezi sita hadi 12 ijayo, huku ikiendeleza teknolojia inayolenga kuwarejeshea uwezo wa kuona watu wasioona.
Kifaa hicho cha majaribio kimeundwa kufanya kazi bila kutegemea macho yaliyoharibika na neva za macho kwa kutuma ishara (signals) moja kwa moja kwenye sehemu ya ubongo inayoshughulikia uwezo wa kuona. Musk alisema vipandikizi hivyo vya awamu ya kwanza vinatarajiwa kutoa uwezo wa kuona wa kiwango cha chini, huku watumiaji, hasa wale ambao wamekuwa vipofu tangu kuzaliwa, wakitarajiwa kuhitaji mazoezi makubwa ya ukarabati na kuzoea (rehabilitation).
Aliongeza kuwa matoleo ya baadaye ya teknolojia hiyo yanaweza hatimaye kutoa uwezo mkubwa zaidi ya ule wa asili wa binadamu wa kuona, ikiwa ni pamoja na uwezo wa kuona miale ya infrared na ultraviolet.
Kifaa cha Blindsight cha Neuralink kimepata hadhi ya Kifaa cha Mapinduzi (Breakthrough Device) kutoka kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA), ambayo inakiruhusu kunufaika na mchakato wa haraka wa maendeleo na ukaguzi wa kisheria. Hata hivyo, hadhi hiyo haimaanishi kwamba kifaa hicho kimeidhinishwa kwa matumizi ya kibiashara, na bado kinaendelea na hatua za majaribio ya kitiba (clinical development).
UsidanganyikeWenzetu wanafanya innovation kila siku, kufanya impossible kuwa possible.
Njoo kwetu sasa, uje umsome bwana Luca, Choice n Tlaa... utachoka sana!
Wewe usiye mjinga umefanya kipi cha maana au cha tofauti kwenye jamii chenye tija?Mijnga bado inaamini yesu
Atakuja kuwa mtu matata sana kumzidi baba yake...ila hilo jina mhhhh lisikie tuu likitamkwa ila kuandikwa ni mtiti...