Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 657
- 1,735
Kuna watu wanahangaika na wanawake pasua kichwa kuwatuliza ili wawaoe wawe wake zao. Huko duniani kuna Musk hajaoa na ana watoto zaidi ya 10.
Wanaume nawashauri kama unaweza kulea tengeneza tu masingo maza wa kutosha. Kwa mwaka piga mimba hata 3 sio unakaa unasubiri mtoto kila baada ya miaka mi3.