Elizabeth Tsvangirai yuko mahali yake!

Elizabeth Tsvangirai yuko mahali yake!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,255
Morgan-Tsvangirai-and-his-008.jpg

Movement for Democractic Change leader Morgan Tsvangirai and his wife Elizabeth. Photograph: Tsvangirayi Mukwazhi/AP
 
Mbona sura ni angavu/nyeupe lakini mikono inaonekana dark? Au ni namna picha ilivopigwa tu (kivuli etc)?
 
Huyu ni mke wa pili baada ya yule wa kwanza Mugabe kumtoa kafara sio?
 
Hamna kitu kabisa hapo. Bichwa kubwa sana kama langu. Kuna vifaa bwana. Acha kabisa utani mkuu.
 
Mke wa kwanza alifariki wapi alimwacha baada ya kugundua alikuwa mwanausalama wa serekali ya Mugabe.

Huyu ni mke wa pili baada ya yule wa kwanza Mugabe kumtoa kafara sio?
 
Mke wa kwanza alifariki wapi alimwacha baada ya kugundua alikuwa mwanausalama wa serekali ya Mugabe.


Ni kweli alifariki katika ajali ya gari huko kwao. Unayemwongelea ni yule aliyekuwa mpenzi wake ambaye alitarajia jkumwoa akamm=waga dakika za mwiso hata hivo kamplipa vizuri tu.

Lakini huyo anayemtuhumu Mugabe ana lake jambo
 
s-TSVAN-large.jpg


Mr. Tsvangirai was heading to his rural home for a Saturday rally when the crash occurred Friday afternoon. From his hospital bed in Harare afterward, he told one of his aides that a large truck driving on the other side of the road had come toward his Land Cruiser, the middle vehicle in a three car convoy. "What he told me was that the truck went for his car," said Dennis Murira, director of public affairs in the prime minister's office. "That's how he put it."...
The crash, coming less than a month after Mr. Tsvangirai was sworn in as prime minister in a tense and long-negotiated power-sharing government with his rival, President Robert Mugabe, stirred deep suspicions in his party, but most officials were careful to say not enough was known about the collision to make any accusations of foul play.
 
Sasa kama Mzee Mangula kavuta jiko
mshua nae bado ana nguvu.
 
Sema wooote ila Josephine Wilbroad Slaa ni kifaa,
ule upara tu mm hooooiiiiii...... (Truly Africanised woman).
 
Sema wooote ila Josephine Wilbroad Slaa ni kifaa,
ule upara tu mm hooooiiiiii...... (Truly Africanised woman).
..Usitamani mwanamke asiye mke wako......Refer Amri 10 za Mungu
 
Kumbe tuko wengi tunaotamani vya watu
'' Wakuu mke wa mtu sumu na mume wa mtu majiwa''
 
Back
Top Bottom