Eliza na Ex-Boyfriend wake

Hili mbona liko wazi..No discussion
 
HOW CAN YOU TRY TO CONVINCE ME THAT IF PEOPLE WERE IN RELATION AND BREAK UP THEY BECOME FRIENDSπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, WATOTO WA KIDIGITALI HUSEMA TUMEACHANA LAKINI TUKO SAWA NA NI MARAFIKI, πŸ€”πŸ€”πŸ€”BINADAMU TIMAMU HAWEZI EKA UADUI NA EX WAKE LAKINI HAWEZI KABISA KUWEKA UKARIBU NA EX WAKE, IWE CHATTING, IWE TALKING OR WHATEVER, Hii yakusema tumeachana lakini we are friends its a TRASH WORD inayoua mahusiano mengi,if you leave, leave forever if you standstill then stand forever.
 

Chief , with all due respect sir. I think you have copied this w/o citation . But what matters is that message it contains. Ahsante , I’ll be heads up. 🀝


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Muaibishe shetani loh..
Ndo nipo namuhoji shetani hapa nimemuuliza ati kupasha kipolo ni dhambi..?? Kanikazia jicho kisha kanijibu "Nani kasema!!"
Almanusura anitie kwenye likikaango la motoni!! Nimeona nile kona nisimtie stress baba wa watu..

Jr[emoji769]
 
Ex wangu huwa akiwa na shida na akahisi mimi ni msaada kwake huwa ananitafuta... sijawahi kufikiria kuvunja mwiko wa ndoa yake... Uzuri hatukuachana kwa shari... Tulikubaliana tuachane... Pia huwa sina mazoea ya kuwasiliana naye... Hadi anitafute yeye tena kwa dharura... Namuheshimu sana sana sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengne wanawaita John na eliza wengne wanaita nerrie na Salome[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kilicho akilini kitumie
 
UKIONA MKEO /MUMEO ANAMAWASILIANO NA EX WAKE UJUE MTU ATALIWA TU SONGA NA HII STORY HAPA (nimetoa sehemu na kuileta kwenu Kama funzo )
Chief , with all due respect sir. I think you have copied this w/o citation . But what matters is that message it contains. Ahsante , I’ll be heads up. [emoji1666]


Sent from my iPhone using JamiiForums

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…