1.Ndilo suluhisho la kwanza. Ukimuanza bikra kwa kiasi kikubwa hatojua mambo mengi na nakuhakikishia atakuwa mwoga wa kusaliti.
...yani bidada kamaliza akili zake zote afu umemuonesha kwa akili hizo hata yeye anaweza kuliwa kirahisi tu!Kwa hiyo mume akilega unamkaza kwa kuchat na ex?
Hapo ndipo wanawake mnapokosea....kosa likifanyika usilimalize kwa hasira utasababisha madhara ambayo utakuja kushindwa kuyatatua maisha yako yote.
Usipoteze fursa tenaWapenzi huwa hawaachani,huwa wanatofautiana tu ndio maana X wangu aliniita majina yote mabaya na kujiapiza kwa kila viapo kuwa haitatokea hata siku moja akanikumbuka kwa lolote,,
Sasa jana nashangaa kaniomba urafiki Fb na kunitumia sms yaani wewe ,basi mpaka muda huu Mimi namchora tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema vizuri,swala hapa ni kama ukioa mwanamke ambaye hajui ndoa ni nini wala thamani yake,hapa lazima utachapiwa mpaka ukome.Yaani Ex kila akimkumbuka anapanga tu miadi wanaendelea,na mara nyingi hawa ni wale wanawake vichwa maji....Naamini ukioa mwanamke mwenye akili na matured hawezi kuyumbishwa na ex Ila ukioa mwanamke ambaye hajui ndoa ni nn lazma akapashe kiporo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namtaka huyo nimfanye mke.Siku zote nasemaga akili kwa mwanamke ni kila kitu, ukioa kichwa panzi utato.mbewa tu.
Kuna ex wangu mmoja alikua ananipenda mbaya nikamzingua tukaachana, Nna uhakika 100% bado yuko single lakini siku nikimtext hajawahi hata siku moja kujibu meseji au kupokea simu.
kabisa mwambaNdiyo maana nikiona dalili za usaliti kwa mwanamke yeyote huwa sina msamaha na mwanamke naye. Naanza harakati za kutafuta mwingine.
Ukioa dalili za usaliti tu, amini umeshaliwa zamani sana.
Trust No body.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaendana Mkuu?? The girl is so smart kichwani aisee.Namtaka huyo nimfanye mke.
Kwihi!kwihi!Mpaka napata mda wa kuchati na x wng hivo ujue weww mme wng kuna kitu umelegarega ndan, mie nna aman zote na mme wng huyo x akintafuta namshushua najitutumue ajue sijutii kuachana nae mbwa yule
Wadada smart ndio bomba!!Mtaendana Mkuu?? The girl is so smart kichwani aisee.
Mwanaume anitwa Nerrie.?
Si ndio maajabu ya Vicent K. Kujiita Ray..!!