Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,019
- 130,479
duh....!View attachment 3587596
Masikini elimu yetu, sina cha kusema, ila picha hii inatembea mitandaoni.
Not fair!
P
duh....!View attachment 3587596
Masikini elimu yetu, sina cha kusema, ila picha hii inatembea mitandaoni.
Not fair!
Nahisi mwenyewe labda alishafariki wakaona hakina maana tena huwezi kurithi cheti.Hata kama jamani.
Hatusomi Ili tuajiriwe,waambieni na ndugu zenu walio bado mashuleniView attachment 3587596
Masikini elimu yetu, sina cha kusema, ila picha hii inatembea mitandaoni.
Not fair!
Hata kama.Nahisi mwenyewe labda alishafariki wakaona hakina maana tena huwezi kurithi cheti.
Najiona kabisa nikigombana na walimu watakaoniambia likizo mtoto aende shule Tuition mara darasa la mtihani boarding ni lazima Sithubutu!Hata kama.
Mi ndio maana kwa wanangu staki kukaza fuvu kwa elimu hii ya importance of forest
Darasa la kwanza mpaka la saba haina haja ya ya kutesa mtoto,, tuisheni ya nini shule msingi aende shule akirudi jioni fundisha mwenyewe.Najiona kabisa nikigombana na walimu watakaoniambia likizo mtoto aende shule Tuition mara darasa la mtihani boarding ni lazima Sithubutu!
Usije kifungia magimbi tu😀Mimi changu nilishafungia kabatini
Wenye hela wanatumia nguvu nyingi hela walizonazo zisizonekane. Wasio na hela wanapambana kufa na kupona kuonekana wana hela.View attachment 3587596
Masikini elimu yetu, sina cha kusema, ila picha hii inatembea mitandaoni.
Not fair!
NB
Mamlaka fanyeni uchunguzi , cheti ni cha nani, kama yuko hai, na imekuwaje mpaka kuidhalilisha UDSM kiasi hiki
SAD!Wenye hela wanatumia nguvu nyingi hela walizonazo zisizonekane. Wasio na hela wanapambana kufa na kupona kuonekana wana hela.
Wenye ‘elimu mbalimbali’ wanakazana kuitwa majina yanayotambulisha elimu wasizonazo. Wenye elimu wenyewe hawajitambulishi na majina yanayotambulisha elimu zao.
Identity crisis—ukiukosa utambulisho unaoanzia ndani yako utateseka na mahangaiko mengi yasiyoziba ombwe lisilozibika.