Sio kweli misomo ya kukariri hasa ya arts ndio haina output mingi lakini sio mainjinia barabara unaziona,majengo unayaona,mafundi magari unaona output yao ya VETA wazi wazi kabisa ,na ubunifu unaonekana , madaktari pia tatizo liko kwa hai wasoma madomo ya kukariri mavitu kichwani fani Kama Sheria,uhasibu,uchumi,historian nk hayo yanazalisha vilaza Wengi mno na ndio wanasababisha elimu ionekane duni