masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Mnajisifia kuwa makini lakini hamuoni the big picture!Du.....kweli hoja za kujadili zimeisha yani limtu lizima na manywele yake kwenye masaburi anadiriki kujadili upuuzi kama huu? Kuna haja kweli ya kuhadili elimu ya Mnyika na hali uwezo wake tunaujua? Wapi prof.magembe, wapi Dr.Kigwangala?
Hoja za kipimbi kabisa hizi.
tukisema kila mtu alete vyeti vyake vya form four hapa JF, isee watu watafunga id zao akiwemo Ritz
sio lazima aseme yeye lakini kukaa kimya wakati anaona kuna watu wanapotosha ukweli ni kosa.
mimi sina degree na maisha hayanigongi. mtu akisema jenifa alipata upper second udsm, nitakuwa wa kwanza kusema weye mwongo
mnyika anawatuma vibaraka wake muje kudanganya eti ana a tatu form six kumbe hata dada (d)hana. ana bba kumbe hata big brother africa hana.
hao maua wanajulikana kufundusha mitihani. wanafunzi wake ukiwaleta shule za kawaida hawana kitu wanaisha na dada na eva na wengine wanampata fatuma kama mwanaasha wa jk.
Mimi naitaji jibu moja tu Mnyika ana degree hama hana?
nakumbuka mwaka 2005 nikiwa first pale mabibo block d mnyika alikuwa napita kuomba kula kwenye room n ni mwaka ambao alikuwa amemaliza chuo so ni graduate wa udsm
Dada Jenifa mbonakuna wenye A masomo yote mpaka chuoni lakini hawana uwezo hata robo wa John Mnyika? Cku hizi wengi wenu mnabeba vyeti tu lakini vichwani mmebeba mabomu.
Inashangaza sana vilaza kuhoji uwezo wa mtu kichwa kama Mnyika.
Kama degree ndio uwezo wa kujenga hoja au weledi wa kupambanua mambo basi kwa hapa jukwaani Ritz ana PhD ya pure head damage zaidi ya fast jet!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Tanga wameitoa kaskazini wamebakia wenye chama tu Kilimanjaro, Arusha, Manyara, ulivyokuwa mtumwa unaweza kuamia hata Karatu.
Samahani wapendwa, naona kama kuna harufu ya vita binafsi kwa hawa ndugu wanaozungumzia jambo hili. Sipendi kwenda huko lakini kwa maneno machache tuu nijaribu kuangalia kati ya wasomi wenye shahada nyingi na wasio nazo waliowahi kuongoza vizuri nchi.
Namkumbuka Lyatonga Mrema sijui kama alikuwa na shahada alipoongoza wizara fulani na nikimlinganisha na aliepo leo kwenye wizara husika sijui mnapembuaje mnapozungumzia shahada zenu! Nadhani labda niite tuu karatasi mnazopewa mkikaa pale mlimani kwa muda fulani.
Sitaki kuamini kwamba kila aliyepita pale kawekeza kichwani !! Kuna wengine aibu hata kuwatambulisha kitaaluma " kuna mkuu wa wilaya fulani huko tanga aliziita degree za ch...". Hii ni kutofautisha nini kinakutambulisha kama umekaa pale ukatoka na nini kichwani.
Kuna wengine wanaitwa madoctor huku lakini kiwango chao cha maamuzi na upembuzi wa mambo bora wangeishia form two. Mifano mnayo ya kutosha. Kila anayesoma hapa anamjua mmoja au wawili ama kadhaa katika hili.
Hebu tuangalie hoja ya maji ubungo,Mnyika ni mbunge wa ngapi tangu uhuru?
Wakati mnaomba kura za uraisi mlisemaje? Ile meli kule mwanza imeshalowekwa ziwani?
Kigoma imeshakuwa dubai?
Hivi hichokitu walichoshindwa kukifanya sisiem kwa miaka 52 huyu Mwampamba na Juliana ndiyo wataweza?
Hata kama watanzania ni wajinga sana lakini tunaangalia kabla ya mkutano nilikuja na nini kichwani na baada ya mkutano naondoka na nini?
Itafika mahali hamtapewa nafasi kuzungumza matusi, mwulizeni nchemba kule igunga watu waliondoka. Hamzungumzi hoja mnaongea mambo ya chupini. Hayabadilishi maisha ya kesho.
Kina Nape walizunguka nchi nzima wakiimba ufisadi hebu leteni mrejesho! Wapo wapi. Nyie mtazunguka mkiimba nini habari itakuwa kiporo hiyo.
Ishu sio kwamba Mnyika ni jembe, shoka au koleo, ishu ni je, anasema ukweli kuhusu elimu yake???
Iwapo hasemi ukweli, je ni kwa malengo gani? na je, aaminiwe kwenye lipi?
maskini magamba imefikiwa pale!! ukishindwa kibarua unarudi kinyumenyume kama mwanga eti elimu!!mi naona tufanye ivo ili tuelewe uelewa wa watu km kina ritz ukilinganisha na passmark
zao
bill gate hajawahi ficha elimu yake.
mnyika aweke elimu yake sahihi kule website ya bunge.
Matusi ni hulka tuliyokwishaizoea kutoka kwa wafuasi wa chadema.
Swali liko palepale, Mnyika anayo degree au hana?