Hakuna asiyejua kwamba hakuna uhusiano wa moja kwa moja baina ya kusoma na kuongoza.
Swali, kwanini aliwadanganya wapiga kura wake?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
masikini tanzania! kwani ailyewadanganya wapiga kura ni mnyika au wakina sshonza? kwani ww hukumskia shonza mwenyewe akitamka kuwa yeye ndie aliyezunguka kuwadanganya wapiga kura? hapo mwenye kosa si mnyika ni shonza na wenzake. msibadilishe maneno.
masikini tanzania! kwani ailyewadanganya wapiga kura ni mnyika au wakina sshonza? kwani ww hukumskia shonza mwenyewe akitamka kuwa yeye ndie aliyezunguka kuwadanganya wapiga kura? hapo mwenye kosa si mnyika ni shonza na wenzake. msibadilishe maneno.
Uwezo wake wa kujenga hoja zenye mashiko bungeni una level zaidi ya PHD, kwa hiyo hata kama hakumaliza chuo anafaa kuongoza, na kwa maono na mtazamo yuko juu ya wale PHD holder ambao wapo bungeni.Hapa mkuu umedanganya " form six ana division three, point 15, alikuwa anasoma mlimani BBA kuanzia mwaka 2002, ila sina uhakika kama alimaliza. Pia tambaza kulikuwa na division one 29 tu kati ya 480 waliomaliza mwaka 2001, mnyika alikuwa anasoma EGM, akitokea Maua Seminary, akiwa na div 1 point 7 A-9, alikuja pale baada ya maua kumfanyia faulu ya kutokupeleka form zake wizarani hivyo hakuchaguliwa, kujiunga kidato cha tano, kwasababu maua walitaka arudi kule, ila sasa, ikatokea kuwa mnyika hakuwa anataka kurudi maua, tatizo tambaza ilikuwa ni kama kuku wa kienyeji, naye alitoka mahali ambapo watu wanafugwa kama kuku wa kisasa, ndo akapata div three, kwakuwa wakati ule ilikuwa ngumu kwa mtu aliyepata div 3 kuchaguliwa kuingia chuo then ilbidi asome masomo ya jioni pale UDSM - BBA, ambayo sikufuatilia kama alimaliza au la.
Inawezekana Mnyika alicheka na nyavu akaingia mitini, juliana alidhani ligi itaendelea forever.Kwa mtazamo wangu ninaona kama kulikuwa na ugomvi kati ya Juliana Shonza , Mwambapa na John Mnyika.Hainiingii akilini siku ya kwanza kuingia CCM Shonza alianza kebehi dhidi ya Myika,sielewe labda elimu yangu ni ndogo.
Elimu ya Mnyika na ubunge wake vinaingilianaje?
Kama huna elimu nzuri utawezaje kuchambua mambo ya bajeti za wizara au utaishia kufoka bungeni tu kuhusu ufisadi.
form 4 div 1 pts 7 na A(9) out 10 maua
sec, A level div 1 pts 3 Tambaza sec then
akajiunga chuo (udsm) kamaliza BBA
wakati wakiwa udsm na akina zitto na
mdee walianzisha mtandao wao ulikuwa
unaitwa Tz students netwek prgm(TSNP)
ambayo mara ya mwisho m/kiti alikua
owawa, mmoja kati ya waanzilishi wa asasi
za kijamii kama UNA, TYVA na pia
muanzilishi wa n.g.o inaitwa UDI. Hiyo
kwa kifupi 2. Aligombea ubungo mwaka
2005 mara 2 alipomaliza chuo na akiwa na
umri wa miaka 24. in short ni m2 mwenye
kipaji cha pekee.
kwa mujibu wa bunge Mh Mnyika ndiye anayeongoza kwa kutoa hoja za maana bungeni!!!!sasa hao wanaotaka elimu sidhani kama ipo kuna kuelimika zaidi ya huko
Ati leo elimu haina tija ilimradi tu kiongozi bora sio kweli akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa kama ni kweli ilikuwaje hadi adanganye elimu yake, kuna watu kwa kutetea ujinga nahic hata akimkuta chumbani na mkewe haamini atasema alienda kumpa kadi ya chama
Mimi naitaji jibu moja tu Mnyika ana degree hama hana?Swali lako la kwanza "watanzania wanataka kujua elimu ya mnyika" lilikua relevant sana. But hili la sasa hivi umeiacha uchi akili yako, kuchambua budget wewe umeitizama in a broad term but hata mwananchi aliepo pale nangurukuru, sengerema ama nanyumbu anaweza kuchambua bajeti sema terms za kiuchumi hatazitaja kama zilivyo. Ritz huwa kwenye thread the more you comment the more you become common na ujinga wako unashtukiwa, you are more powerful ukiongea kidogo au ukikaa kimya..nliwahi kukwambia!
Mimi naitaji jibu moja tu Mnyika ana degree hama hana?
Mtajutakumfahamu Shonza na Mwampamba.Kwa mtazamo wangu ninaona kama kulikuwa na ugomvi kati ya Juliana Shonza , Mwambapa na John Mnyika.Hainiingii akilini siku ya kwanza kuingia CCM Shonza alianza kebehi dhidi ya Myika,sielewe labda elimu yangu ni ndogo.
Elimu ya Mnyika na ubunge wake vinaingilianaje?