Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 888
I smell sentiments of a very selfishperson. Your taxes my ... Siyo kwa sababu wew unafanya kazi ndio udhani wewe pekee unalipa kodi kwa sababu tu unakatwa kutoka kwenye mshahara. Kama huafahamu kila mtanzania analipa kodi. Sijui unafahamu kitu kinaitwa VAT. KUpitia hiyo kila mtu hata bibi yako analipa akinunua chumvi, kiberiti, diseli (ambayo anatumia kama mafuta ya taa kwa ababu hawezi kuafford mafuta ya taa) na hata akitaka kununua sindano ya uunganishia kanga yake iliyochakaa analipia kodi. Sasa wewe haya madai ya kuwa wtz hawalipi kodi unayatoa wapi? Nikupe mfano mwingine; mifugo ng'ombe, mbuzi, kondoo sina hakika kuhusu punda yote inalipiwa kodi kwa mamia kwa kila kichwa. Msihalalishe ufisadi wenu kwa kudai wtz hawalipi kodi, wanalipa sana ila mnazifisadi na ndio maana hamtaki watanzania wasome kwa sababu manajua siku ujinga ukiwatoka mtawaeleza kodi zao mlipeleka wapi.
Wote mnaoshabikia hili swala mnakimbilia kwenye kusema eti elimu ya bure kwani nani amesema anataka elimu ya bure. Nchi zilizoendelea ni watu wachache sana wanaojisomesha kwa pesa yao zaidi ni mikopo (loans)
na financial aids. Serikali lazima iwe mdhamini wa watu wanaotaka kusoma maana hakuna benki inayotaka kumpa mkulima mkopo bila dhamama. Wote mnaochangia hapa ninaamini mna walau shahada ya kwanza na zaidi ni ajabu iliyoje watu mliosoma ( na wengi wenu mmesoma bure mkipewa nauli na pesa yakununulia chupi) leo hii muanze kudai eti elimu ya juu si lazima. This is pathetic.
First of all naomba unitake radhi mara moja! Huwezi kuniita FISADI! Fisadi ni wewe basi, fisadi wa fikra!
Hunijui wala hujui kazi ninayofanya! Unakuja kwenye forums na kuwapaka watu label! Unaonyesha kuwa wewe ni mvivu wa kufikiri na mwenye mtazamo finyu! Na hapo nimekuheshimu, maana ningekumwagia matusi mengi sana, you arrogant *****!
Unasema SELFISH person! SORRY! To be selfish is HUMAN. usitake kuniletea hapa sera za Ujamaa na kujitegemea na kusema eti like this and like that eti undugu!
Mimi sijasomeshwa bure, hujui historia yangu, sikupewa chupi ya bure na serikali! I worked from day 1 nilipoingia chuoni mpaka namaliza!
I wanted to get out of the way, the personal part and now for the facts:
Unasema kila mtu in Tanzania analipa TAX, yes indirectly! Lakini tunaofanya kazi na kuendesha kampuni tunalipa pia direct TAX. Naomba niulize, hivi wewe unaendesha kampuni? Au ni mwajiriwa unayekaa ofisini na kuongea tu? Officially, companies have the highest tax burden in the WHOLE region, tumewazidi hata Kenya. Zaidi ya hiyo VAT unayoizungumzia sana, we have monthly taxes int he form of NSSF, PAYEE, we have 30% company tax, na kama unapata mshahara as employee of your own company, bado unalipa personal taxes, ukiingiza vifaa unalipa Custom, duty etc. Apart from that I provide Health insurance for my employees (private health insurance).
So screw you! You have no idea what kind of employer I am and how much I contribute to this society, which is more than you and you flapping mouth!