Mkomamanga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 815
- 189
lema ukifuatilia kauli zake utajua kabisa elimu yake haiko clear.
Nini maana ya elimu? Mafisadi wa Elimu wote wana vyeti lakini miaka 50 ya vyeti vyao haijaleta mabadiliko kwetu watanzania. Kama elimu ni za hivyo afadhali hii ya 'street university' inayoweza kuleta mabadiliko walau ya kimtizamo na kifikra. Maana huo ndiyo mwanzo wa kujikomboa na si mawazo mgando ya kukimbizana kuhonga ili watu watunukiwe shahada za udaktari na walazimishe watu kuwaita Doctor so and so.... huku wakijua kabisa hawaja-publish hata makala moja ya kitafiti katika jarida lolote!!!!! Waaibishwe na wafedheheshwe mafisadi wa elimu na siasa za tz.