Elimu ya Godbless Lema utata mtupu

Wakuu, kwa mwenye CV au historia fupi au kamili ya Lema, amewahi ajiri vijana wangapi, na mtazamo/ falsafa yake kwenye kuondoa umaskini na tatizo la ajira.

Alipokuwa mbunge, Arusha ilijaa wauza mitumba, kwa nini hakusema?

NB: Mtu anayesajili laini 300 kwa mwezi anapata 600,000.
Ni darasa la kumi na mbili aliefeli kwa kupata daraja la nnne point 32
 
Wauza mitumba wamekuwepo nchi hii hata kabla Lema hajazaliwa, na wauza mitumba nguo zao ni nzuri na imara kuliko za Vunja bei
Lema alipokuwa mbunge Arusha ilijaa wauza mitumba mbona hakusema wala kuwasaidia!?
 
Back
Top Bottom