Elimu ya Godbless Lema utata mtupu

Mzee unapo eshimika usizani tuna kuogopa,tuna kutunzia eshima tu,embu tuambie ao wenye digrii zakupewa wamelifanyia nini ili taifa,au kwa upeo wako wakufikiri mwenye elimu yajuu ndiye kiongozi mzuri?
 
mi naona yote kheri tu kwa mtizamo wangu hao wamagamba ndio balaa kabisa wengine walianza std 1 wakiwa wabunge ndo mana huko bungeni wanalala tu halafu wanajiita ma`DR`, Profesa mawater malong Aibu tupu.`` Hey muhudumu niongeze valuu ingine. :cool2:
 
Mzee unapo eshimika usizani tuna kuogopa,tuna kutunzia eshima tu,embu tuambie ao wenye digrii zakupewa wamelifanyia nini ili taifa,au kwa upeo wako wakufikiri mwenye elimu yajuu ndiye kiongozi mzuri?

Ukweli utabaki kuwa ukweli!Kuna elimu ya Sekondari ya Miaka 3?Au alifanya mtihani wa QT?
 
sidhani uongozi ni elimu na kama ni elimu nafikiri watz wangemchagua Prof I. Lipumba maana ana elimu kubwa..alaf tuangalie na tuache ushabiki hiv hawa mnaosema wana elimu si ndo wezi
1.A Chenge ...
2.E.lowasa ..
3.BWM
4.Mramba
na wengineo niambie wamefanya nn hapo wasomi km mtu amefanya kitu cha maana mpeni hongera na sio kushangilia vitu ambavyo havina mantiki ...big up Lema coz we all know hawa ni wanafiki wako ...aluta continua ....
Mtu ana gentleman pass leo Rais.
 
No wonder wakati akina Zitto wanatumia Ipode kuwakilisha bajeti bungeni, bado akina Mkulo and co wanatumia mtindo wa KIJIMA wa KULAMBA MAKARATASI. Hawa wazee inabidi tuwapige chini hawawezi kutupeleka popote uwezo wao wa kufikiri umeshafikia mwisho.

Eti nini? Nadhani unamaanisha iPad mkuu!
 
Wazazi,nawaapia kuwa GODBLESS LEMA hakumaliza shule pale Kolila Sec,aliishia form two baada kubambwa kwa wizi wa vifaa vya maabara akapiga mbio usiku usiku hakukanyaga tena Kolila mpaka kesho ,hii CV ni uongo mtupu anaye bisha kwa haya niliyosema ajitokeze!

Mzee mtei kaambali wewe ni msomi na usitete watu waongo kama mtu kaishia lapili sio hoja ila kutunga CV za uongo hai fai GODBLESS LEMA anijibu kama kweli ameokoka?
 
Wazazi siendi mbali na subiri majibu hapa! niwakati wa kupitia taarifa za wabunge wote nchi haiwezi kuongozwa na watu waongo na wahuni ikafika mahali kudanganya elimu ni uhuni.Wapi GODBLESS LEMA NA WAPAMBE WAKE !

Niko hap kamali Optimus the great the one and only
 
wazazi,nawaapia kuwa godbless lema hakumaliza shule pale kolila sec,aliishia form two baada kubambwa kwa wizi wa vifaa vya maabara akapiga mbio usiku usiku hakukanyaga tena kolila mpaka kesho ,hii cv ni uongo mtupu anaye bisha kwa haya niliyosema ajitokeze!

Mzee mtei kaambali wewe ni msomi na usitete watu waongo kama mtu kaishia lapili sio hoja ila kutunga cv za uongo hai fai godbless lema anijibu kama kweli ameokoka?

cdm mpo wapi?
 
Wazazi siendi mbali na subiri majibu hapa! niwakati wa kupitia taarifa za wabunge wote nchi haiwezi kuongozwa na watu waongo na wahuni ikafika mahali kudanganya elimu ni uhuni.Wapi GODBLESS LEMA NA WAPAMBE WAKE !

Niko hap kamali Optimus the great the one and only

sio fresh kuaibishana hivi . Si uvunge tu .
 
Jamani ukweli unauma! Si aseme tu kweli hata kama elimu yake ni ya KINDERGATEN?Kuliko kujipachika sifa za kielimu usizokuwa nazo.HATA MEMKWA HAWAWEZI KUSOMA KWA MTINDO WA MH.HUYO

Jamani mwacheni Rais wa Arusha afanye kazi zake. Mimi nina ushahidi wa kutosha kuwa mtukufu rais wetu wa Arusha Lema alisomo shule ya secondary Korila f1 -f4. Na hisi tarifa ni za kweli maana nimeambiwa na class mate wangu tuliesoma naye chuo cha ACSOP. Ambaye sasa ni mhubiri kule kwenye makambi ya wakimbizi kule ushirombo. Yeye amesoma na rais Lemma darasa moja na kuishi dom moja mpakageni lakini haki yake mpeni!!!
 
Tena hawa wasomi wadegree ndio wakiamua kuchakachua wanaweza sana.
 
Wazazi siendi mbali na subiri majibu hapa! niwakati wa kupitia taarifa za wabunge wote nchi haiwezi kuongozwa na watu waongo na wahuni ikafika mahali kudanganya elimu ni uhuni.Wapi GODBLESS LEMA NA WAPAMBE WAKE !

Niko hap kamali Optimus the great the one and only

Jamani mbona mnatuchanganya sasa na huko Cambridge alikwendaje?
 
Back
Top Bottom