AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,081
- 4,311
Tatizo lako unaongea sana, hadi unakosa muda wa kujifunza. Kua maomaji ni njia moja ya kujifunza.Kwani hairuhusiwi kudadisi ?
Mimi nilijaribu kuweka huo mpangilio wa kuwaka herufi H katikati na receiver ikagoma kuipokea.
Mpangilio wa receiver za Azam herufi H inakaa mwishoni.
Hebu basi wewe utuandikie na kuiweka H mwishoni ili ikae bila kusumbua.
Kama mtu akiuliza kitu ni vizuri kumjibu badala ya kuandika vitu vingine visivyoeleweka.