Naona kimechokuchanya hapo ni neno dstv.
Nachotumia hapo ni dish pekee la dstv au Dish la Azam au startimes na wala sio visimbuzi ya kampuni ya hayo madish badala yake unakuwa na visimbuzi chochote ila kiwe cha FTA
Tambua kuwa kuna decorder za kulipia kila mwezi ili uweze kuona channel za Tv kama vile Azam tv, Dstv, Ting n.k na pia kuna decorder ambazo ni free ambazo haulipii ili kuona channel za Tv na hizi decorder tunaweza kusema ni FTA receiver/decorder na ndiyo ninayoitumia ila decorder yangu imo ndani ya flat screen yaani ni builtin decorder.
Pia hata kama Tv yako haina decorder kwa ndani, unaweza ukatumia zile decorder za madishi makubwa tuliyokuwa tunatumia kipindi kile cha analogia. Mfano kama una receiver/decorder ya mediacom au hata decorder inayoitwa Strong nayo inafaa sana.
Baada ya kujua ni decorder/receiver gani zenye sifa ya kukuwezesha kuona channel nyingi za bule zikiwemo zingine nyingi tu.
Kama una dishi dogo la ku-band kama la ni la Dstv au Startimes au Ting n.k kati ya hayo yanafaa. Elekeza dishi lako mashariki na anza kufanya installation kwny decorder yako kwa kuchagua satellite inayoitwa Amos 5 17 E, Freq 11665 V 45000, 11595 V 30005, 11631 V 1499 na kwenye sehemu ya LNB FREQ NI 9750/10600.
NB. Utaweza kufanya kama una idea na haya mambo. Kama utakuwa unahitaji maelekezo ya ufundi uni PM namba yako tutawasiliana.