Realbest
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 812
- 301
Dgiteki unaipatajeMnajisumbua bureeee tu hapa kwa kupenda vya bure mmeshaambiwa ukitaka ITV na star TV basi fungeni kisimbusi cha DiGiTECK hamtochajiwa malipo ya mwezi lakini men'gan'gan na wizi tuuuuu . jamani bakini njia kuuu mchepuko sio diri utakuja kuwaumbuA ooooh ! Haya