Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

kkuna tofauti gani kati ya decoder na receiver? wataalam naomba mnisaidie
 
Ili ujue kama Flat screen yako ina king'amuzi cha ndani kwa ndani, chunguza nyuma ya tv yako kama ina port iliyoandikwa LNB IN, hapo ndo utajua kama ina decorder kwa ndani au la!
 
Ili ujue kama Flat screen yako ina king'amuzi cha ndani kwa ndani, chunguza nyuma ya tv yako kama ina port iliyoandikwa LNB IN, hapo ndo utajua kama ina decorder kwa ndani au la!
Si kama hiki boss, ????
IMG_20180919_182416.jpg
 
Naona kimechokuchanya hapo ni neno dstv.
Nachotumia hapo ni dish pekee la dstv au Dish la Azam au startimes na wala sio visimbuzi ya kampuni ya hayo madish badala yake unakuwa na visimbuzi chochote ila kiwe cha FTA
Tambua kuwa kuna decorder za kulipia kila mwezi ili uweze kuona channel za Tv kama vile Azam tv, Dstv, Ting n.k na pia kuna decorder ambazo ni free ambazo haulipii ili kuona channel za Tv na hizi decorder tunaweza kusema ni FTA receiver/decorder na ndiyo ninayoitumia ila decorder yangu imo ndani ya flat screen yaani ni builtin decorder.
Pia hata kama Tv yako haina decorder kwa ndani, unaweza ukatumia zile decorder za madishi makubwa tuliyokuwa tunatumia kipindi kile cha analogia. Mfano kama una receiver/decorder ya mediacom au hata decorder inayoitwa Strong nayo inafaa sana.
Baada ya kujua ni decorder/receiver gani zenye sifa ya kukuwezesha kuona channel nyingi za bule zikiwemo zingine nyingi tu.
Kama una dishi dogo la ku-band kama la ni la Dstv au Startimes au Ting n.k kati ya hayo yanafaa. Elekeza dishi lako mashariki na anza kufanya installation kwny decorder yako kwa kuchagua satellite inayoitwa Amos 5 17 E, Freq 11665 V 45000, 11595 V 30005, 11631 V 1499 na kwenye sehemu ya LNB FREQ NI 9750/10600.
NB. Utaweza kufanya kama una idea na haya mambo. Kama utakuwa unahitaji maelekezo ya ufundi uni PM namba yako tutawasiliana.
 
Mnajisumbua bureeee tu hapa kwa kupenda vya bure mmeshaambiwa ukitaka ITV na star TV basi fungeni kisimbusi cha DiGiTECK hamtochajiwa malipo ya mwezi lakini men'gan'gan na wizi tuuuuu . jamani bakini njia kuuu mchepuko sio diri utakuja kuwaumbuA ooooh ! Haya
 
Haya mambo ya beyond your thinking capacity.... kafatilie udaku ndio level zako... hakuna mtu amekuita hapa... kwanza unajua maana ya free to air????
 
Usipotoshe watu! Mimi napata channel nyingi tu bure na silipii hata shilingi
ITV
EATV
CH 10
STAR TV
TBC
TING HD MICHEZO
Muvi tv zambia
CLOUDS TV
TVE
DIRA TV
ATN
TV1
UHAI TV
EMANUEL TV
ALJAZEERA
DW TV
RT
VOA
BB
MORNING STAR
SAYARE TV
JTV
SHILOH TV
WRM TV
ARISE AND SHINE
UPENDO TV
CINEMA TV
FRANCE 24
GEOR DAVIE TV
PRESS TV
MADAN TV
DAY STAR
1FILM
NILE
AFRICANEWS
CLOUDS TV RWANDA
TBN
SMILE OF CHILD
SIBUKA TV
KTN
CITIZEN
K24
MBC
MBC2
MBC BOLLYWOOD
SUA TV
MIRACLE TV
LOVE WORLD
CHELSEA TV
TRENET TV
FIRE
CLOUDS TV
WASAFI TV
DIZZIM TV
NTV
HOPE TV
Star documentary
Star movies
Star bunge
Star drama
Star muzik
Star sport
Star religion
Star education
Star tollywood
Star kids
Star e
Na channel nyingi cjaziorodhesha naona bure bila ya kulipia hata shilingi
UKIWA MZEMBE NA KAMA HATO CHUKUA HATUA UTALIPIA VING'AMUZI HADI UNAKUFA
 
Haya mambo ya beyond your thinking capacity.... kafatilie udaku ndio level zako... hakuna mtu amekuita hapa... kwanza unajua maana ya free to air????
Hajitambui huyo! Kajitoa ufahamu.
Sasa aangalie channeli nmezopost na nazoziangalia bure.
Bila shaka mpaka hapo ananionea wivu.
 
Back
Top Bottom