Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Mwenye frequency mpya aweke maanake zote zilizowahi kuwekwa hapa hazifanyi kazi kwa sasa.
 
MKUU naomba kuuliza ukitumia decodar ya STARTIMES unaweza kupata chenel za bule? Na kama upati nifanyaje ili niweze kupata?
 
thanx wapendwa mnatoa frequence humu ndani nimepata channel zifuatazo kupitia wadao wa humu ndani,
vox africa
benie
kzn
stones
france 24 eng
canal 3 monde
espace tv
bvn
dw
new horny tv
tv congo
proriquest tv 1
proriquest 2 ( mb3 )
mbc 2
nhk world
muvi tv
africa unite
occa africa 1
cctv news
cctv f
business 24
cctv 9
cctv4
muvi nyimbo
muvi prisms
peace tv
zuku zone
muvi tv
crtv
sunna tv
rts1
guest channel( fine living)
muvi combo
cine 5
tv 5 monde
record mozambique
mta international
muvi muvis
africa tv swahili
afrique tv media
angel tv africa
124 news french
samanyolu tv,thanx kwa@ph-25 na Mgjd na wengine woteeee
Ungeweka Frequency ndo ungekuwa umefanya la maana zaidi.
 
Niaje ndugu zangu naomba msaada wa namna ambayo nitaweza rudisha chanel ambazo zimepotea kwenye king'amuzi changu mfano manchester united .real madrid na nyinginezo
 
wakuu nimejaribu kuadd new satelite kwenye king'amuzi cha azam nimefanikiwa lkn nikijaribu kusearch channels naambiwa ni add transponder...please wajuzi wanielekeze jinsi ya kuadd transponder
 
wakuu nimejaribu kuadd new satelite kwenye king'amuzi cha azam nimefanikiwa lkn nikijaribu kusearch channels naambiwa ni add transponder...please wajuzi wanielekeze jinsi ya kuadd transponder
Sasa kiongozi sawa umeadi new satellite, swali ni je uelekeo wa dish ndipo ilipo hiyo satellite?
 
1.Azam TV decoder inatumia pia HDMI cable pia ingawa hakuna hata Channel moja ya HD, ila channel zao zina qaulity nzuri kuliko decoder nyingine za Bongo. Wafanyakazi wa Azam TV ukiwauliza mna HD watakujibu ndio ingawa hakuna nadhani hii ni kwa sababu hawajui maana ya HD. Pia channel zao hazigandigandi kama Startimes na wengine.

2. Azam 1 na Azam 2 ndio channel zinazoonyesha VPL mechi mbili kwa pamoja. HAta mechi zinazochezwa mikoani zinaonyeshwa kulingana na uzito wake. Hii ndio kitu inayowafanya watu wengi waipende.

3. Azam TV inaonekana nchi zote kusini mwa jangwa la Sahara. Hii kitu itawafanya wauze sana hasa kwa watanzania wanoishi nchi hizo.

4. Azam TV haina ITV na Star TV. Bado kuna kubaniana na akina Mengi labda na wao wanataka wapewe hizo za Azam 1 & 2 channels kwenye decoder zao.

5. Kwa ujumla Azam TV itauza sana kwa sababu ya kutumia satellite na pia ina channel karibu zote za Kenya na Uganda hivyo watanzania, wakenya na waganda popote walipo kusini mwa sahara wataitaka tuu.
Mkuu no.4. ITV na Star Tv zinapatikana ndani ya king'amuzi cha Azam. Au sijakuelewa vizuri?
 
Back
Top Bottom