Ikijiupdate au ukiupdate software ipya basi hizo za Other channels hazitaonesha hata moja.salaam wakuu,,,, leo nimewasha king'amuzi changu cha Azam kika update OTA ila chaa ajabu channels zote ambazo ziko upande wa other channels hazioneshi hata moja,,, msaada tafadhali
Wamekata bhana!!AZAM WAMETUBANIA . WAMETULETEA SOFTWARE MPYA AMBAYO IMETUONDOLEA UHONDO KWENYE OTHER TV CHANNEL AMBAPO AFCON TULIKUWA TUNAIPATA KUPITIA CRTV BURE BILA KUJALI KAMA UMELIPIA AMA BADO .
Rudi mwanzo mwa thread hii utakuta maelekezoNaomba darasa how to add channel mkuu !
Mkuu shukrani nimefanikiwa kuyapata maelezo hayo.Rudi mwanzo mwa thread hii utakuta maelekezo
Thanks mkuu.Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.
UPDATE...
................................
Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.
12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.
editing..
Sasa hivi Wamebadili hiyo @12728
imekuwa @10721h 30000
Nb: soma uzi kwanza kisha ndio ucoment kwani unaweza ku coment vitu ambavyo tayari vimesha jadiliwa tayari.... na sathunting sio msahafu muda wowote tp zinaweza badilika tu.
Kivipi mkuu?hata kama wameondoa other chanel si unaadd mwenyewe
Thanks mkuu.Angalia ubc pia wako live ila rts 1 yenyewe iko kwenye other channel's.
hata kama wameondoa other chanel si unaadd mwenyewe
nitumie pia nicholaus08@yahoo.comsawa wakuu nitawatumia wote
Ya kale dhahabu mkuu ...naona baada ya tamko la TCRA umerudi kufuata maajuzi kwenye uzi wa zamani..mie mwenyewe nasubiria jibuInawezekana kutumia dstv dish na receiver ya mediacom mft-910 plus. Au 930 plus....naona TCRA wanaleta maigizo