Edward Mangapi
Senior Member
- Jul 29, 2018
- 126
- 66
Azam walishtukia huo mchezo kwan walijua watakosa wateja so ndo maana huwezi ziona.nimeingiza transponder zimeingia kwa kingamuzi cha azam nime add satellite na nime search zimeoneka zimepatikana channel 2 frequency ya kwanza na 21 frequency ya pilli. lakin kwenye channel list sizioni nemeenda hadi other channel sizion channel hizo zilizo ongezeka