Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Inawezekana kutumia dstv dish na receiver ya mediacom mft-910 plus. Au 930 plus....naona TCRA wanaleta maigizo

Haiwezekani kupata local channels kama TBC, ITV, Star TV nk.

Nunua dish la futi 6, utawezapata ITV, EATV,Capital TV,TBC nk.
 
Haiwezekani kupata local channels kama TBC, ITV, Star TV nk.

Nunua dish la futi 6, utawezapata ITV, EATV,Capital TV,TBC nk.
Inawezekana kupata chaneli zingine tofauti na local chanels
 
Receiver ya media com mft -930 plus na 910 plus. Vipi kuhusu flat screen zenye decoder zinafaa kuunganisha na dish la dstv?
kama tv yako ina king'amuzi tafuta fundi aseti dish upande wa continental maana loxa zote zipo free huko. huna haja ya kununua rcv
 
Back
Top Bottom