chuse da silva
Member
- Nov 27, 2013
- 35
- 15
kuongeza satellite au channel,
nenda main menu search satellite list
pale chini utaona rangi na function yake mbele unachagua
ukitaka kuadd frequency na symborate yake una unabofya arrow ya kulia,pia utaona rangi pale chini na function zake.
ukifuta hivo utaweza kuadd satellite na frequency.
nimefanya hivyo lkn channel zlizokuja hazionyeshi ni fanye nini ili zionyeshe
Umelipia kifurushi gani? Inaweza kua ndio tatizo.
Mkuu labda tujue channel gani zinazoonyesha, wengi wanakosea kulipa vifurushi. Inabidi ufuate vizuri maelekezo ya kujiunga na kifurushi cha sports.nimelipia kifurushi cha azam pure na kile cha sports kwan inatakiwa nilipie kifurushi kipi?
Wakuu hongereni kwa kutoa somo zuri sana, binafsi nimenufaika, naomba nijue aina ya kifurushi na jinsi ya kulipia ili niweze kuziona hzo channel za mpira wa epl na FA maana nimeziadd tayar ila naambiwa ACCESS DINIED!!!Mkuu labda tujue channel gani zinazoonyesha, wengi wanakosea kulipa vifurushi. Inabidi ufuate vizuri maelekezo ya kujiunga na kifurushi cha sports.
majukumu mengi mkuu hatujakujibu kwa wakati.
Wakuu hongereni kwa kutoa somo zuri sana, binafsi nimenufaika, naomba nijue aina ya kifurushi na jinsi ya kulipia ili niweze kuziona hzo channel za mpira wa epl na FA maana nimeziadd tayar ila naambiwa ACCESS DINIED!!!
Ubarikiwe mkuu nimepata chanel mbili BBC na Cine 12 kwa hii receiver ya AZAM na satelite ni Pas 68.5 degree east ukiwa na frequency nyingine tupia mkuu.
Mkuu PRISCUS JR,naomba unielekeze namna ya kufanya
Wale wa amos5
Wale wa Dar na wanampeg 4(g6),(qsat) wanicheki 0712038088 epl wanapata bule napatikana j Moshi zaidi
Masuala ya kununua king'amuzi kinachotumia internet nani anataka...tupa kule!!!!Wale wa Dar na wanampeg 4(g6),(qsat) wanicheki 0712038088 epl wanapata bule napatikana j Moshi zaidi
Masuala ya kununua king'amuzi kinachotumia internet nani anataka...tupa kule!!!!