wewe uko pande zipi mkuu,mi niko Moshi ila izo chanel zisioni
Mi nimepata hiyo star tv kwenye other channels. Zipo pia mpya nyingiiiiii za kihindi. Sa sijui itakujaje kwenye list ya kawaida!
Star Tv ni ni FTA itakuaje iende kwenye malipo makubwa tena? hiyo si hakiKwa leo zimehamia kwenye list ya kawaida. But hata keangu, Qtv, TV Malawi, Bukede 1 hazishiki but za kihindi ziko OK. Labda izo zingine zipo category ya malipo makubwa,
Ma channel ya kihindi mengiii sisi ya nini???? ....
Star Tv ni ni FTA itakuaje iende kwenye malipo makubwa tena? hiyo si haki
Nimekuelewa mkuu,lakini wasije wakapandisha tu package,kwa chaneli za kihindi na FTA kutoka nchi jiranTulikuwa tukiulizana hiyo Qtv, na Tv Malawi, sio star tv, ilhali tulishajua ni FTA. Hata mdau km umesoma vzr post yake utagundua nini kaniuliza!
Star Tv kwangu imekubali ila zile zingine hapana ukiacha machanel ya Khanjibah
Wakuu Hamna maujanja ya kupata capital tv, maana sidhani km kuna kisimbuzi chenye hiyo Chanel! Namaanisha kwenye azamu au any direction ya sat!