Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,101
- 1,909
Hiyo fox sports two huwa inarusha premier baadhi ya mechi
Hiyo fox sports two huwa inarusha premier baadhi ya mechi
una uhakika?
Azam TV
Jikoki kiburudani!!!
Kuanzia leo tarehe 1 March 2015 azamtv inakuletea:
Punguzo la bei ya kisimbuzi, sasa utapata azamtv kwa shilingi 99,000!!! Hii ikijumuisha decoder,dishi na vifaa vyote pamoja na makato yote ya VAT!!
Azamtv inakupa uhuru wa kuchagua kulingana na kipato chako kwa kuzingatia hali tofauti za kiuchumi kwa Watanzania ili kuifanya iwe burudani kwa wote.
Tumewaletea vifurushi vipya vitatu vya bei vya malipo ya mwezi navyo ni:
AZAM PURE 10,000/=
AZAM PLUS 15,000/=
AZAM PLAY 20,000/=
AZAM PURE 10,000/=
Kifurushi cha Azam PURE, kitakuwa na chaneli za Azam ONE, Azam TWO, Sinema Zetu pamoja na local chaneli nyingine za hapa Tanzania, Kenya na Uganda kwa 10,000/= kwa mwezi kwa chaneli zaidi ya 20.
AZAM PLUS 15,000/=
Kifurushi cha Azam PLUS kitakuwa na chaneli zaidi ya 50 kwa 15,000/= kwa mwezi na kitakuwa na chaneli kama zilizopo sasa, isipokuwa Fox Entertainment, FX na AMC.
AZAM PLAY 20,000/=
Kifurushi cha Azam PLAY kitakuwa na chaneli zote, ikijumlisha Fox Entertainment, FX, AMC, Viasat Nature/History, pamoja na chaneli za klabu za Liverpool na Real Madrid, Fox Sports 2 na nyinginezo nyingi zitakazokuja siku za usoni kwa 20,000/= kwa mwezi.
Jikoki....
Jiongeze kiburudani...
Azamtv Reloaded.
mbc zooote sasa ni fta ktk nilesat, kama mtakumbuka vizuri kabla ya ujio wa azam zilikuwa fta lakini azam walipokuja zilitiwa kufuli, juzi azam wanajifanya kupandisha bei eti ili uzipate utalipia 20000.msisumbuke kulipia hicho kifurushi kikubwa kwa ajili ya mbc. itafute nilesat tu kwyshney 10873 v 27500.SHIKAMOO FTA
ivi chaneli ipi inaonyesha uefa kwenye AZAM TV
NBS inaonyesha Uefa mechi za jumatano.Hivyo mechi ya PSG vs CHELSEA itaonyeshwa live na hiyo channel
Kama utaangalia vizuri tarehe ya post yangu wakati huo ITV haikuwapo Azam TV.Kwenye kipengele namba 5 hapo.ITV ipo azam tv na inapatikana vizuri tu.
Wakuu Naomba kuuliza kwenye dstv decoder kuna option Ya ku add frequency na satellite zingine?
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.
UPDATE...
................................
Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.
12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.
editing..
Sasa hivi Wamebadili hiyo @12728
imekuwa @10721h 30000
Nb: soma uzi kwanza kisha ndio ucoment kwani unaweza ku coment vitu ambavyo tayari vimesha jadiliwa tayari.... na sathunting sio msahafu muda wowote tp zinaweza badilika tu.
Hahahaha kweli kuuliza si ujinga sometym ni upumbavuMbona sipati Azam kwenye digitek??