Zikwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 239
- 131
Hebu mtafute ph25 huyu ndo xpat wetu humu
poa nshukulu pia
Hebu mtafute ph25 huyu ndo xpat wetu humu
Msaada wakuu! Nimefanikiwa kuingiza satellite na frequencies, zimeongezeka Channels kadhaa kwenye Azam "dikoda ". Hasa nilipenda kupata Rodriguez, imeingia, ila haina picha wala sauti! Nirekebishe nini ionekane? Natanguliza shukrani
Kuanzia tarehe 1/03/215,AZAM TV watafanya mabadiliko ya bei ya vifaa na malipo ya mwezi kama ifuatavyo;
(subscription fee) channel zimegawanywa katika vifurushi vitatu, AZAM PURE (10000/=)- channel 20+ FTA.
AZAM PLUS (15000/=)- channel 50+FTA.
AZAM PLAY(20000)- Channel 60+FTA,BEI ZA VIFAA(dish) ZITAKUWA 99000/=, bila kifurush cha kuanzia na bila ufundi.
Kwa maswali zaid tupigie 0658123412 au piga Azam TV 0764700222.

yaan kuongeza station mbili tu za mpira wanaanza mambo ya zuku...nilianza zuku nipo azam..ila sasa nanza fikiria kwenda dstv. channel zenyewe nyingi hazina vipindi vya maana. ahaa washaniuzi hapo sijui wenzangu mnaonaje
bei ikoje ndugu?
Azam TV
Jikoki kiburudani!!!
Kuanzia leo tarehe 1 March 2015 azamtv inakuletea:
Punguzo la bei ya kisimbuzi, sasa utapata azamtv kwa shilingi 99,000!!! Hii ikijumuisha decoder,dishi na vifaa vyote pamoja na makato yote ya VAT!!
Azamtv inakupa uhuru wa kuchagua kulingana na kipato chako kwa kuzingatia hali tofauti za kiuchumi kwa Watanzania ili kuifanya iwe burudani kwa wote.
Tumewaletea vifurushi vipya vitatu vya bei vya malipo ya mwezi navyo ni:
AZAM PURE 10,000/=
AZAM PLUS 15,000/=
AZAM PLAY 20,000/=
AZAM PURE 10,000/=
Kifurushi cha Azam PURE, kitakuwa na chaneli za Azam ONE, Azam TWO, Sinema Zetu pamoja na local chaneli nyingine za hapa Tanzania, Kenya na Uganda kwa 10,000/= kwa mwezi kwa chaneli zaidi ya 20.
AZAM PLUS 15,000/=
Kifurushi cha Azam PLUS kitakuwa na chaneli zaidi ya 50 kwa 15,000/= kwa mwezi na kitakuwa na chaneli kama zilizopo sasa, isipokuwa Fox Entertainment, FX na AMC.
AZAM PLAY 20,000/=
Kifurushi cha Azam PLAY kitakuwa na chaneli zote, ikijumlisha Fox Entertainment, FX, AMC, Viasat Nature/History, pamoja na chaneli za klabu za Liverpool na Real Madrid, Fox Sports 2 na nyinginezo nyingi zitakazokuja siku za usoni kwa 20,000/= kwa mwezi.
Jikoki....
Jiongeze kiburudani...
Azamtv Reloaded.