Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Kwa wale mulio aribikiwa rimoti
Za kisambuzi cha Azam ...
Unaweza tumia cha Startimes vinaingiliana
Na bei yake 8000/- kwa mawakala

Mkuu ni kweli kabisa remote ya startimes inafanya kazi vizuri kabisa kwenye azam tv, na kwangu ilikua imeharibika ulivoandika hapa nikaenda kujaribu na naitumia.
 
kbc ili uipate siku hizi lazima uipate satelite iitwayo yahsat ambayo ni ngumu sana kupatikana maana beam yake ipo mbali sana. kama upo interested na kbs tafuta dish zaidi ya ft12 tofauti na hapo hutaipata kwa ft6

Pia kbc unaweza pata ukiwa na mpeg4 au hd katika angle za jirani na intelsat 906
 
tupeane ujanja wa AzamTV anayetaka madishi na receiver kuna uzi wake. Hapa ni azam tu.
 
Habari jamani? hivi kuna mtu anawapata ting muda huu kwa tp hii 12418 V 30000??
 
Natumia dish la f6 na receiver ya mediacom MFT 930PLUS nimefunga ku chin ya cband naomba msaada kupata frequency za KBC1 na nyinginezo pls

kama hauna dish ft8 basi kanunue azam kit utaipata.
 
Jamani, kuna yeyote mwenye frequency za FTA za chaneli za dini (kikristo), ukitoa Emmanuel Tv. Nazihitaji, za kiislamu tayari ninazo kama tano hivi.

mfanye google awe rafiki yako utapata tp nyingi tu.
 
Ninalo dishi la kawaida la Azam je, nitaipataje startv? bila kuathiri Chanel zingine zilizopo?

sasa unapo niwekea mashart eti bila kuathiri chanel zilizopo nashindwa nianze wapi kukusaidi.. kwanini umataka kulazimisha kitu ambacho hata wewe kukifanya haukiwezi.? setting io hata kama wewe utaiweza. ungesema uitaji startv ningekusaidia lakini unapoweka limit ya ufundi binafsi siwezi kufan ilo ulitakalo.
 
sasa unapo niwekea mashart eti bila kuathiri chanel zilizopo nashindwa nianze wapi kukusaidi.. kwanini umataka kulazimisha kitu ambacho hata wewe kukifanya haukiwezi.? setting io hata kama wewe utaiweza. ungesema uitaji startv ningekusaidia lakini unapoweka limit ya ufundi binafsi siwezi kufan ilo ulitakalo.

Nisaidie mimi mkuu,nataka morning star Tv mkuu
 
mkuu@Ph-25 huu uzi umewapatia sana Azampesa hawa jamaa wangekua wazungu ilibidi wakupe% fulani au kama hufanyi kazi huko ilibidi wakupe ajira kabisa.

Naamini kwa idea yako hii umewapelekea Azam wateja wapya wengi na kuwazuia wengi wasihame hapo Azam ilipo.
 
Naona kuna channels zimeongezwa Azam Tv, mimi huku naiona MBC Plus power na VIASAT NATURE, lkn hiyo ya kwanza ACCESS DENIED
 
Naona kuna channels zimeongezwa Azam Tv, mimi huku naiona MBC Plus power na VIASAT NATURE, lkn hiyo ya kwanza ACCESS DENIED

Hata mimi mkuu MBC plus power is Denied...ila hiyo nyingine naangalia km kawaida...but napenda sana nikipata Morning star Tv
 
morningstar walikuwa wametoa offer sasa wameifunga rasmi, ni kwa mujibu wa maelezo toka kwa mkurugenzi mkuu wa mstv ndugu matucha
 
Shukran sana wadau! Naenjoy Afcon through Azam TV wakati wengine wanshangaashangaa vibanda umiza mie nipo sebuleni na remote mkononi. Ph-25 shikamoo!
 
Shukran sana wadau! Naenjoy Afcon through Azam TV wakati wengine wanshangaashangaa vibanda umiza mie nipo sebuleni na remote mkononi. Ph-25 shikamoo!


Furaha nyingine hiyo inakuja through Azam TV:


Tanzanian Television giants, Azam TV have signed a 2 and a half year deal to take over broadcasting rights of Uganda Premier League.

Azam TV which is already broadcasting the Tanzanian Vodacom Premier League, takes over and the league will be called the Azam Uganda Premier League with a total package of $2.25M (1.28bn Uganda shillings).

"It is a dream realized. Associating with Uganda's football will definitely help us penetrate the ever growing middle class in Uganda will also drive the need for pay television with variety of content and a number of local and international channels of choice", Rhys Torrington, the Azam Media Chief Executive Officer, said.

Azam TV takes over with immediate effect starting the second round slated to kickoff on February 13th, 2015.

Each of the 16 Uganda Premier League (UPL) clubs is set to receive $ 16363 (about 45M) for the second round.


Majority of the clubs have already received a down payment of $ 7782 (about U.shs 21M).

The likes of Entebbe FC and Kira Young have already taken the dime.
- See more at: AZAM TV TO BROADCAST UGANDA PREMIER LEAGUE | Galaxy FM 100.2
 
Back
Top Bottom