Hapo ni channel gani naweza ona epl au uefa?
Nime add freq zoteee na sr zake. Nimesearch na kupata chane 30. Yaani 26 ni tv na 4 ni radio. Japo kuna rodrigues tv 2 and radio ndo haioneshi... tanx sir!
Kwenye Azam TV au?
Ndio ongeza sat then ingiza hizo freq
Mkuu naomba uongeze data nyingine za kuingiza kwenye hiyo sat, mimi kuna moja nimeiongeza nikapata chanel mbalimbali ikiwemo africa tv lakini nlipoweka hizi freq ulizotoa sijaona kitu.
Kupata Tv Imaan ingiza 11357 h 45000
Kaongezee hapo hapo ulipopata hiyo Africa Tv, huna haja ya kuadd sat,just add,freq only kwenye Tp
baadhi ya rcvr ndio inaruhusu.... wala sio zote.
jamani naombeni msaada kama kuna namna naweza kufanya ili niweze kutumia decorder ya GTV na dish lake.