Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Mwenyewe sijaona,nimejaribu kuscan decoder yangu sijaipata, hope bado hawajakubaliana.
 
Sasa ITV ndani ya DSTV izaa namba 293 au chaneli namba 293.Kazi kwako DSTV SO MUCH MORE
 
Ingiza hizi frequency 12604 H 30000 hapo utapa press tv in english, inb tv, quran tv, sunna na african tv2
 
WADAU haya maelezo mnayotoa hebu mtusaidie na sisi tunaotumia DSTV maana nasi tunatamani sana kuangalia EPL na VPL uchumi unasumbua kulipia DSTV KIFURUSH CHA 85,000. Kila mwezi ni mshahara wa mtu huo. lakini pia tunapenda ligi .kusema kununua tena AZAM DECODER nayo issue maana hapa nakaa nyumba ya kupanga mwenye nyumba ameshaanza kulalamika kuwa tutaangusha nyumba yake kwa sababu ya kujaza madishi. tupo wapangaji 9 kila mtu ana dish wengine mpaka madish matatu kwa kuataka sifa.nyumba inalemewa ukipita nje utadhan hapa ndo sehemu ya kurushia matangazo
 
Kwa hapo njia nzuri ni kutumia madish matatu tu na kutumia lnb za njia nne.Hakuna sababu ya kurundika madish mengi wakti yote yameelekezwa uelekeo mmoja.Kwa mfano hapa wapangaji wanne tunatumia ungo mmoja kupata channel za fta kwa kutumia lnb ya njia nne.
 
naomba msaada wenu wakuu nahitaji kupata "hope chanel" na "morning startv"
 
Back
Top Bottom