Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,929
- 2,567
sijaelewa swali lako.?
..uesema baadhi ya rcvr, nikupe detail zipi nijue kama yangu inawekana...
sijaelewa swali lako.?
Leo nilikwenda kwa jamaa wa dstv sikunakaofa chao ka99,000elf nikiuliza kifurushi cha el17 epl ipo nikaambiwa hakuna,
Jamaa wameamua kuzifnga na hizi za bure
Jaribu RDV kwa hizi frequency 21574 H 1860 kwenye Eutelsat 7A at 7.0°E ambayo azam TV walikuwa zamani inaonyesha mpira. Nimeshindwa kuijalibu sababu niko mbali na TV
rdv ipo eutelsat 16 na sio 7. na freq zake ni 10804 h 30000
ni kweli rdv wapo kwenye 7A ila sio kwa beam ya africa wako Europe c na hizo frequency ni ka band sio ku wala c band il à kwa hapa tz wanapatikana Eutelsat 16A @ 16e.Soma hii link mkuu ipo pia kwenye 7. Free TV from Senegal - LyngSat na hii hapa link pia Eutelsat 7A at 7.0°E - LyngSat
na hii hapa RDV - LyngSat
Soma hii link mkuu ipo pia kwenye 7. Free TV from Senegal - LyngSat na hii hapa link pia Eutelsat 7A at 7.0°E - LyngSat
na hii hapa RDV - LyngSat
Dw inapatikana ndani ya azam tv pia rdv nao wapo ila sijawakamata. Jaribuni kuadd hizo frequency kwenye hii link kwenye eutelsat 7A: http://www.lyngsat.com/
Jaribu RDV kwa hizi frequency 21574 H 1860 kwenye Eutelsat 7A at 7.0°E ambayo azam TV walikuwa zamani inaonyesha mpira. Nimeshindwa kuijalibu sababu niko mbali na TV
ni kweli rdv wapo kwenye 7A ila sio kwa beam ya africa wako Europe c na hizo frequency ni ka band sio ku wala c band il à kwa hapa tz wanapatikana Eutelsat 16A @ 16e.
Jamani msaada, mwenye software ya decoder naomba anitumie, maana rcv yangu imepoteza hiyo software.
josephjul40@gmail.com