Rt iko ses 5 @ 5e
Jamani katika kuongezaongeza mafrequency ktk AzamTV nimebahatika kupata i24News English na French. Pia nimepata Zouk zone.Ila zipo Chanel nyingi tatizo hazioneshi. mfano ipo zouk sports,b4u,KBC,zouk entertainment, zouk family nk. ila Naona mbili tu yaani zouk zone na i24 ya Israel.
Hizo ndiyo ziko clear jaribu kuangalia hiyo link hapo kwa chini utaona maelezo in short nyingine ziko encrypted ndo maana hazionekani. Pia jaribu hizo frequencies nyingine utapata rt na kuna nta news, rave TV, poa hilo na canal 3. Kama utazipa toa feedbacks kwa wadau jf waziweke pia
http://www.lyngsat.com/SES-5.html
Nimepigapiga Naona zile ambazo hazionekani zinajirudia Japo zipo mpya nyingine lakini hazionekani. Chakufurahisha nimebahatisha moja inaitwa MCS sports channel. Ni nzuri nimependa. Naona wanasema wanaonesha major league sasa sijajua ni zanchi zipi.Ila ipo vizuri nadhani nitapata hata uefa.
Mbona mnatutamanisha pasipo kutupatia frq za hizo chaneli?
Hapo kuna channels za muvi TV, kuna sunna 1 and mbili za kiislamu, moja ya msumbiji, na pia na nyinginezo. We umepata zip?kwangu zinajirudiarudia pia hazionyeshi chochote.
Hapo kuna channels za muvi TV, kuna sunna 1 and mbili za kiislamu, moja ya msumbiji, na pia na nyinginezo. We umepata zip?