Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Wadau mimi nina dish dogo nina receiver ya mediacom pia nina receiver ya class hd mini box na lnd ya hd naweza pata chanel gani za free? Packege ya azam na zuku ntazipata?????
Msaada
 
wakuu nimefunga jana dish la azam tv lakini mpaka sasa hakuna chanel ya maana zaid ya info chanel naomba mnijuze tatizo ni nini hasa
 
hujaeleweka vizuri. unamaanisha channel zengine unaziona za kijinga au unapata channel moja? kama unapata channel moja basi itakuwa bado hawajaunganisha malipo yako
 
Mkuu napata chanel moja tu ...na itachukua muda gani mpaka waunganishe?
 
wakuu nimefunga jana dish la azam tv lakini mpaka sasa hakuna chanel ya maana zaid ya info chanel naomba mnijuze tatizo ni nini hasa

mkuu ukishapata info chanel unawapigia wanakufungulia ndani ya dk 20 tu.pole sana kwa zahama uliyoipata.piga no yao hii hapa sasa hivi wakufungulie0784108000
 
TING tunalipa Elfu 16,000 na tunaona EPL
na nyie muache habari za epl. Nani awape epl kwa 12500. Mbona startimes wanalipa mbaka 40elfu na bado epl hawaoni. Ili jamaa waweze kuonesha epl inabidi tulipe sio chini ya elfu 80. Je wangapi watalipa? Je ataweza kushindana na dstv ambao tayari wamecover nchi nyingi?
 
Kupitia ATN 1 tulikuwa tunapata mechi 1 ya EPL na moja toka bundesliga kila Jumapili. Zaidi ya hapo kuna channel za msumbuji/uganda na za kiarabu zilizokuwa zinaonyesha EPL match na za League ya Hispania na za michezo mingine kama tennis. Ahsante
Ok poa kwa ufafanuzi
Walikua wanaonesha mechi ngap kwa kila jpil na jmos?
 
Kupitia ATN 1 tulikuwa tunapata mechi 1 ya EPL na moja toka bundesliga kila Jumapili. Zaidi ya hapo kuna channel za msumbuji/uganda na za kiarabu zilizokuwa zinaonyesha EPL match na za League ya Hispania na za michezo mingine kama tennis. Ahsante

wngalia ulivyokua hunabaibu.? eti unazungumzia mechi moja.?alafu unalipa 16...?

wenzio game zote za siku na wiki pia tena bureeeee.... kwenda zako uko na ki ting chako.
 
Mimi sijatumwa na Agape, hapa nilikuwa natoa maoni yangu mwenyewe. king'amuzi ni zaidi ya Football na pia issue ya hitaji la ulinzi wa maadili ya watoto wewe mzazi unapokuwa haupo nyumbani. Kwa mtizamo nilioleza hapo juu ni dhahiri TING ni mojawapo ya ving'amuzi bora hata hivyo katika mtizamo wa kibiashara kila mtu huvutia kwake. Ahsante

Kwenda zako huko. Kafungue thread yako uanzishe ishu ya TIng. Upande wa Azam hayo maadili unayoyazungunzia yapo pia.
 
Mimi sijatumwa na Agape, hapa nilikuwa natoa maoni yangu mwenyewe. king'amuzi ni zaidi ya Football na pia issue ya hitaji la ulinzi wa maadili ya watoto wewe mzazi unapokuwa haupo nyumbani. Kwa mtizamo nilioleza hapo juu ni dhahiri TING ni mojawapo ya ving'amuzi bora hata hivyo katika mtizamo wa kibiashara kila mtu huvutia kwake. Ahsante

ha ha ha ha eti maadili.? kwenda zako kanjanja mkubwa weweee
 
Back
Top Bottom