Ph-25
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 1,159
- 540
- Thread starter
- #901
Hata wakibali watabadili beam tu na siyo satellite. Wakibadiliasha satellite means lazima tubadilishe direction za madishi yetu kitu ambacho kigumu sana. Wanaweza kujoin beam mbili ya africa 45 ambayo wanaitumia for now may be na europe a,b or c ambazo ziko kwenye 7a 7e pia
icho kutu unacho zungumza ni kigumu sana... na hakiwezekani... emu jiulize ninani sasa ameweza kuipata beam ya europe kupitia azam.? kama hakuna je ni kwanini.?
je unajua kua.kuna baadhi ya.sehemu itawawia vigumu kuipata io beam.?