Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Mkuu ph utakubaliana na mimi kwamba fifa wametoa kombe la dunia kwa tv zote za taifa wanachama wa fifa lakini tbc wanataka kufanya biashara kupitia loop hiyo inasikitisha kwa kwel

Mkuu mbona kuna channel nyingi kwenye Azam TV zitaonyesha world cup 2014 mfano muvi TV,MBC,crtv na rts tupia zile frequency ziko humu ni FTA channels usihangaike na TBC wanakula kodi zetu tu.
 
Mkuu ph utakubaliana na mimi kwamba fifa wametoa kombe la dunia kwa tv zote za taifa wanachama wa fifa lakini tbc wanataka kufanya biashara kupitia loop hiyo inasikitisha kwa kwel

ni kweli mkuuu.
 
TING Tanzania Integrated Network
Group
KOMBE LA DUNIA - NI HAKI YA
WATANZANIA.... NA WATANZANIA
WANAHAKI KUONA MECHI ZOTE
BURE.......
4 hours ago
 
Hide story
TING Tanzania Integrated Network
Group
KOMBE LA DUNIA - NI HAKI YA
WATANZANIA.... NA WATANZANIA
WANAHAKI KUONA MECHI ZOTE
BURE.......
4 hours ago
Like · 8 Comments · Share ·
Unlike Page
Brits Zdee likes this.
Faustin Costantine
kwa hiyo mtaonesha mechi zote?
Like · 3 hours ago
TING Tanzania Integrated Network
Group
VUTA SUBIRA
Like · 3 hours ago
Baba P J Mao
mtaonesha kupitia nin mana tmeanza
kutoa tng na kununua dish za star tmes
ili tpate tbc 2 na nyie mpo kimya toen
tamko
Like · 3 hours ago
TING Tanzania Integrated Network
Group
Tamko itatolewa waulize kama
wanahaki kuonesha KOMBE LA DUNIA
kupitia TBC 2 ambayo ni channel ya
kulipia????
Like · 3 hours ago
Jonas Michael
Mech zote
Like · 3 hours ago
Shukuru Costantine
tatizo tz wenye ving'amuzi wote wapo
kibiashala sna, we hata CCTV zachina
watu wanazijumlisha kwenye kulipia na
hilo kombe la dunia watu wanafanya dili
hili watu walipie wakati mechi zenyewe
zinachezwa asubuhi nani atakua Ok
kulipia kwajili ya kombe ka dunia wakati
simu zipo unaingia net au Live score
unaona majibu, Chanel zanje zipo kibao
wanalusha na ving'amuzi vipo kibao
kma vp watu wataenda kulipia kwenye
vibanda kwawale wasio na kazi
maalumu, kwakifupi watambue kombe
la dunia wasifanye kigezo tulipie chanel
zakenya uganda zote mzuka tu na Dstv
kma kawa
Like · 1 hour ago
Baba P J Mao
unajua mtoe tamko je mtaonesha
kupitia chanel gan?jbu rahs tu
Like · 57 minutes ago
Mc -----
Kama mtaonesha itakuwa vzur
Like · 9 minutes ago
 
Kwa taarifa ni kwamba nchi zote wanachama wa FIFA wamepewa haki ya kuonesha KOMBE LA DUNIA KUPITIA TELEVISION ZAO ZA TAIFA. HIVYO UKIWA NA DISH UNAPATA KUTOKA KWA MATAIFA MBALIMBALI HATA KAMA TBC WATAKUWA NA TATIZO LOLOTE LA KIUFUNDI AMA KUTUMIA TBC2 KAMA CHNL YA KUONESHA BAADHI YA MECHI MUHIMU ILI WATU WANUNUE AMA KULIPIA STAR TIMES.
 
Kweli azamtv wanaleta mbwembwe, mi nasubiri wakate hiyo baada ya wiki tatu.
 
vpl imeisha na mm nimepumzika kulipia nitalipia nini sasa wakati vpl msimu umekwisha leo walitangaza kwa mbwembwe wangeonesha gane ila matokeo yake dk za mwisho wakasema hawataonesha ndio nini sasa.
 
naisi muda muafaka wa uzi huu kupotea umefika mana azam uawajielewi kabisa.

mkuu ukisema hivo unanivunja moyo na hii azam yangu naanza kuona kama niliingia choo cha kike,anyway hivi dish la ft 8 linauzwa shingapi?
 
Naomba maelekezo namna ya kuinstall king'amuzi changu cha Azam ni mgeni kabisa ndo nimekinunua Leo wakuu
 
Niko nachek fainali ya Europa league kati ya sevila na benfica kupitia mbc3 Mauritius ila cjui frequency zinaingiliAna na redio? maana inasikika sauti ya commentator na muziki wa radio msaada wa kuondoa hiyo radio kama Luna mdau anajua? nataka nitatue hili tatizo kabla ya kombe la dunia
 
Nisaidie hizo frequencies kaka kwangu naona inaniambia no signal,
Kuhusu sauti bonyeza remote button ya Audio then weka left,toa iliyopo
 
pole mkuu hata mm nacheki

chukua remote

juu kabisa batani ya pili kutola kulia

imeandikwa radio.

press hiyo

nenda kwenye track set

bofya kwenye remoti yako vol batani ya upande wako wa kulia

uipate left. Tatizo litakua solved.
 
Nisaidie hizo frequencies kaka kwangu naona inaniambia no signal,
Kuhusu sauti bonyeza remote button ya Audio then weka left,toa iliyopo
Frequency za hiyo TV ipo hapo juu kabisa ya uzi huu. Nina maana post ya kwanza kabisa isome kuna frequency mbili zimetolewa ndio hizo.
 
Back
Top Bottom