kama una dish la azam au zuku na linafanya kazi basi ni kiasi cha kuchomeka decoda ya startimes habari kwishaaaaa ha ha ha ha ha startimes bna hawajielewi kabisaaaa na hawata fanya biashara kupitia ilo dish lao.
Unamaanisha kuwa hutolipia tena kabisa miaka nenda rudi hadi wajitambue!??
pole mkuu hata mm nacheki
chukua remote
juu kabisa batani ya pili kutola kulia
imeandikwa radio.
press hiyo
nenda kwenye track set
bofya kwenye remoti yako vol batani ya upande wako wa kulia
uipate left. Tatizo litakua solved.
jamani nashukuru sana nimetatua tatizo ni matumaini yangu mbc3 Mauritius wataonyesha kombe la dunia
Wanaonyesha mkuu channeli ziko nyingi tu kwenye hizo free channeli ndani ya azam TV zitakazoonyesha kumbe la dunia zikiwemo CRTV,Muvi TV,MBC,RTS na RTG: For more information read here 2014 FIFA World Cup broadcasting rights - Wikipedia, the free encyclopedia
kama una dish la azam au zuku na linafanya kazi basi ni kiasi cha kuchomeka decoda ya startimes habari kwishaaaaa ha ha ha ha ha startimes bna hawajielewi kabisaaaa na hawata fanya biashara kupitia ilo dish lao.
Wanaonyesha mkuu channeli ziko nyingi tu kwenye hizo free channeli ndani ya azam TV zitakazoonyesha kumbe la dunia zikiwemo CRTV,Muvi TV,MBC,RTS na RTG: For more information read here 2014 FIFA World Cup broadcasting rights - Wikipedia, the free encyclopedia
Hizi ndizo Frequency za Dish la
Startimes.
Star Sat Dish Parameters
Satellite Name-SES5
Satellite Direction-West North 80.18
Degrees
Frequency-11976 Mhz
Polanzation-Vertical
Azimuth 49.59 Degrees
Signal status Should be at least-
Signal Strength Over 70
Signal Quality Over 80
Hizi ndizo Frequency za Dish la
Startimes.
Star Sat Dish Parameters
Satellite Name-SES5
Satellite Direction-West North 80.18
Degrees
Frequency-11976 Mhz
Polanzation-Vertical
Azimuth 49.59 Degrees
Signal status Should be at least-
Signal Strength Over 70
Signal Quality Over 80
TBc2 now FTA ON SES 5 on 11785v27500
TBc2 now FTA ON SES 5 on 11785v27500
Hizi ndizo Frequency za Dish la
Startimes.
Star Sat Dish Parameters
Satellite Name-SES5
Satellite Direction-West North 80.18
Degrees
Frequency-11976 Mhz
Polanzation-Vertical
Azimuth 49.59 Degrees
Signal status Should be at least-
Signal Strength Over 70
Signal Quality Over 80
Sidhani sababu kwenye facebook page yao mod wao huwa anawambia watu waweke hizo frequency so wana encourage kama option yao ya kuwafanya wauze sababu huku kuna free channeli zinaonyesha mpiramkuu azam wana akili ujue wameweza kutenganinsha zao wenyewe na zile tulizochakachua
Kama ni hivyo wanaweza hata kuzilock na tunazochakachua hizo sema jamaa wamekua fair tu.
ref:kwa startimes si tulikua tunachakachua na sasa wamefanyaje tusijipe mahope sana baadae tukapata stress kwa kufungwa kwa hizo za free.
source plz.
ipo Tbc 2 na Tv 1 lkn hazioneshi...natumia Azam