mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,427
khaaa hawajamaa washanichefua tayari kwa kweli utamkatiaje mteja channel za bure kwan ni zao??? azam nao kumbe nao ni wale wale tu
Katika makosa ambayo yatawaghalimu Azam Tv moja ni hili la kusitisha chanel za bure. Watajiletea balaa. Ni kwamba leo wamenitumia ujumbe huo nimesikitika maana mi ni mtu wa kusafiri na nimepanga naishi pekeyangu hivyo huwa nazima kila kitu sasa ikitokea nipo safari mwezi mzima inakuwaje? Niliwapa promo sana na nimewaunganisha karibu watu kumi nimeumia sana
Waache. wakatechannel za bure hawatatupata wengine 'world cup naangalia kupitia mbc3 hata Kwa kutumia receiver yangu mwenuewe labda waje wachukue dish lao
teh teh teh teh teh.looooohhh tangu uzi huu uanze leo ndio nimecheka sana kwa hiii coment...... daaaahhh.
Ni kweli hiyo system mpya ya azam itatumaliza wengi lakini jamani tusiwe wabinafsi tu ila waelewa pia. Unajua wabongo tunapenda vya bure saanaaa, watu wengi utakuta hawalipiii huduma hata miaka miwili inapita wakitegemea free channels sasa tukumbuke hizi ni kampuni na zinahitaji kujiendesha kwa pesa. Na hata kuonesha vpl mamilioni yanahitajika. Je wataweza kutuletea EPL kweli kwa mtindo huu kama hatutatoa hela? Yatatokea ya Gtv. Kwanza hiyo ni favour tu tena wiki 3!!!!!! Dstv hamna hiyo. Azam sio level ya startymes au digitek, azam yupo kuleta competition kwa dstv tuwe na subira wakuu
Katika makosa ambayo yatawaghalimu Azam Tv moja ni hili la kusitisha chanel za bure. Watajiletea balaa. Ni kwamba leo wamenitumia ujumbe huo nimesikitika maana mi ni mtu wa kusafiri na nimepanga naishi pekeyangu hivyo huwa nazima kila kitu sasa ikitokea nipo safari mwezi mzima inakuwaje? Niliwapa promo sana na nimewaunganisha karibu watu kumi nimeumia sana
Mkuu hao jamaa wameshalewa sifa wamesahau namna ambavyo wateja wao wa mwanzo tulivyowapigia debe juu ya hizo channel za bure, sasa km wakiuza hizo channel si bora kurudi Kwa Intelsat 906 na hapo pia watawashawishi watu wanunue decoda za mchina na hivyo itakuwa imekula kwao.
akuna anaependa vya bure bna... kwani sheria ya mawasiliano ina semaje kuhusu hili.? dstv sio company ya tz bna.... mbona starrltimes hawazikati izo local.? vp digtek.? sasa kwanini azam wao wawalipishe.? azam wao wamekua nani mpaka kuipinga io sheria ya kupata.local bure.?
Nakubali sheria ya mawasiliano inasema hivyo lakini hapa kwetu sheria naona hazina nguvu na ndio maana star TV na tv1 hatuzipati kwenye azam. Sio kwamba ninasapoti Azam kuzikata hizo channels bt upande wa pili yeye atafilisika kama watu watakuwa hawalipii huduma. Hebu angalia basket anayoonesha na vpl anatoa kiasi gani? Inabidi tubadilike jamani tusapoti vya nyumbani pia huduma zake sio ghali sana ukifananisha na wengine. Halafu ukiwatetea dstv kuwa ni wa nje ndio wavunje sheria mbona hata startimes ni foreigners yet wanatoa free. So long as dstv wanaoperate tz basi hawanabudi kucomply na sheria zetu
Ni kweli hiyo system mpya ya azam itatumaliza wengi lakini jamani tusiwe wabinafsi tu ila waelewa pia. Unajua wabongo tunapenda vya bure saanaaa, watu wengi utakuta hawalipiii huduma hata miaka miwili inapita wakitegemea free channels sasa tukumbuke hizi ni kampuni na zinahitaji kujiendesha kwa pesa. Na hata kuonesha vpl mamilioni yanahitajika. Je wataweza kutuletea EPL kweli kwa mtindo huu kama hatutatoa hela? Yatatokea ya Gtv. Kwanza hiyo ni favour tu tena wiki 3!!!!!! Dstv hamna hiyo. Azam sio level ya startymes au digitek, azam yupo kuleta competition kwa dstv tuwe na subira wakuu
mkuu tv1 sio chanel ya tanzani io ni kwa taarifa yako tu... na kuhusu star tv mazungumzo bado yana endelea na mikataba bado kusainiwa... japo kua sheria ipo lakini taratibu lazma zifuatwe nq ninaimani watafanikiwa kama walivyo fanikiwa kwa itv na ndugu yake.
Halafu mkuu hivi tbc2 ni ya TBC kabisa au kuna mkono wa startimes?
wapenda bonde utawajua tuSasa mbona hata izo frequence hujazi weka au umekuja kutupia ukanjanja?