KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,771
- 39,538
Maajabu gani....!?Nina cheti lakini siwezi kufanya maajabu ambayo darasa la saba hawezi kufanya.
Maajabu gani....!?Nina cheti lakini siwezi kufanya maajabu ambayo darasa la saba hawezi kufanya.
HapanaJe wote wenye vyeti, wameelimika?
Kwa nini wanapewa vyeti?Hapana
Kila ninachofanya, ata ambaye hajaenda shule anaweza kufanya akielekezwa ndani ya wiki moja tu.Maajabu gani....!?
Ndio maana nikasema ni cheti cha kuthibitisha elimu kwenye mabano nikasema lakini sio ujuzi kwakuwa watu wanaweza kununua cheti cha elimu lakini sio ujuziLogic: Elimu ni ujuzi , cheti ni nyaraka ya kisheria kuthibitisha elimu = cheti ni nyaraka ya kisheria kuthibitisha ujuzi. Kwa hiyo, mwenye elimu lazima awe na ujuzi; kama hana ujuzi atakuwa hana elimu. Hapo nipo sahihi?
Inabidi nikatafute cheti tu, mambo ya ujuzi siyatakiNi cheti
Kama changamoto hazitatuliwi inatafsiri, hakuna ujuzi?Elimu ni ujuzi, cheti ni kama uthibitisho wa kinadharia kuwa tuna assume unao ujuzi hivyo ngoja upewe nafasi tuone kuwa kweli ujuzi upo?....Twende kibongo bongo sasa, bongo Elimu ni cheti Kwa asilimia kubwa, ndio maana kama huna cheti hupewi nafasi uoneshe ulichonacho maybe upitie chocho Kwa chocho ujikomboe mwenyewe bila kushikwa mkono na govt.
Hapa mm nimeongelea ujuzi wa kutatua changamoto Tu na siyo ujuzi kama wa mawasiliano na vinavyofanana na hivyo .
Kwa huku kwa kina makonda ni cheti hata kama hujui chochote kilichopo kwenye chati chakoHapa nilipo nina vyeti vingi kweli, vinakaribia kujaa begi, lakini sina uwezo wa kuvumbua chochote kile kwa kutumia elimu niliyoipata kutokea chekechea mpaka uprofeseri. Nazidiwa ata na mafundi majiko walioishia darasa la saba, wanaweza kutengeneza kitu. Yaani nisipo ajiriwa na huu wingi wa vyeti nilivyonavyo, sitaweza kuishi kabisa. Sasa najiuliza swali, elimu ni kupata ujuzi au ni kupata cheti tu? Kwa sababu, ata huku mashuleni na vyuoni tunajifunza namna ya kujibu maswali tu, na tunafaulu vizuri kwa alama A; ila kiuhalisia hatuvumbui vitu, tunategemea kuajiriwa tu.
kama unataka kuajiriwa lazima uwe na cheti, cheti ndicho kinakutambulisha kuwa una ujuzi. Ukiwa na ujuzi bila cheti hautaajiriwa, labda ujiajiri mwenyewe kwa huo ujuzi wakoInabidi nikatafute cheti tu, mambo ya ujuzi siyataki
Ulisomea vitu gani hasa mkuuHapa nilipo nina vyeti vingi kweli, vinakaribia kujaa begi, lakini sina uwezo wa kuvumbua chochote kile kwa kutumia elimu niliyoipata kutokea chekechea mpaka uprofeseri. Nazidiwa ata na mafundi majiko walioishia darasa la saba, wanaweza kutengeneza kitu. Yaani nisipo ajiriwa na huu wingi wa vyeti nilivyonavyo, sitaweza kuishi kabisa. Sasa najiuliza swali, elimu ni kupata ujuzi au ni kupata cheti tu? Kwa sababu, ata huku mashuleni na vyuoni tunajifunza namna ya kujibu maswali tu, na tunafaulu vizuri kwa alama A; ila kiuhalisia hatuvumbui vitu, tunategemea kuajiriwa tu.
Ndio kama changamoto hazitatuliwi basi hakuna ujuzi.Kama changamoto hazitatuliwi inatafsiri, hakuna ujuzi?
Kwa mtazamo huu, ni sawa na kusema tunaenda shule ili tupate vyeti na si kupata ujuzi ili tuajiriwe?Cheti ni kwa ajili ya kuajiriwa tu. Unaweza kuwa na ujuzi bila cheti hautaajiriwa. Ni rahisi kupata ujuzi kuliko kupata cheti. Ujuzi unaupata hata ukiwa mitaani kwa kuiga wenye ujuzi waliousomea shuleni/chuoni
Je, na sekta binafsi inaangalia ujuzi au vyeti?Kuna watu ni wajuzi wa fani na taaluma mbalimbali za kimaisha ila hawana cheti, hawaajiriwi ingawa waajiri wanawatamani sana kuwapata ila mifumo ya ajira haiwatambui
Kwa hiyo nikitumia njia za mkato nikapata cheti, nitakuwa tayari nina elimu?Kuna watu wamefika mpaka vyuoni kusomea fani na taaluma fulani wakaishia kutokutunikiwa cheti. Watu hawa wakirudi mitaani tayari wana ujuzi na maarifa ila hawakupata cheti huko chuoni kutokana na sababu mbalimbali. Basi hubaki na maarifa na ujuzi wao bila kutumika sehemu mahsusi. Angalau fani kama za ufundi, biashara na kilimo/ufugaji hizo mtu huweza kujiajiri mwenyewe na akatumia maarifa/ujuzi alioupata chuoni hata bila kupata cheti