Elimu ndo mume??

Elimu ndo mume??

Kwahiyo mimi ni secondary eeeeh!Primary ni darasa kumbe,ngoja ukirudi leo!
Elimu ni hali, wewe ni mtu huwezi kucompare au kuchagua visivyofanana. But if you force me to choose you will loose.
Bila elimu do you think l can make a good wife and mother to our children and a better and useful citizen to our not young anymore but backward country?
 
Kaunga ,kwa upande wangu,kuwa mke bora hakuhitaji elimu ya darasani
'
Our for fathers walikua wazuri sana kwenye mambo ya malezi na kuheshimiana lakini hawakugusa hata zile shule za chekechea
'
Umuhimu wa elimu ya darasani upo ila kwa baadhi ya maeneo ya maisha tu
'
Hakuna elimu bora kama ya Utambuzi kwa mwanadamu,elimu hii haipo huko kwenye ma masters!
 
Last edited by a moderator:
Baba yako as a man himself, knows better!
huyo baba yake sio baba tu pia ni peal ya ulimwengu ,kupata baba atakayekutamkia maneneo hayo ni wachache sana kwenye hii dunia ,
 
Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako.... Baba yuko sawa hapa????

I don't think so... Baba anajitahidi kum-hamasisha binti yake asome..lakini maneno yanaweza jenga hisia kuwa viumbe wa kike ni tegemezi kwa waume.... Siwezi kumuhamasisha bint yangu ki-hivyo.... Elimu na mume ni vitu viwili tofauti... Ma-bint wanatakiwa kusoma ili kupata maarifa na mbinu za kupigana na umasikini... Mambo ya mume na mapenzi vipo kivyake..labda tu kama akili ya mwanamke ni ya mgando na tegemezi kwa mwanaume kama golikipa...
 
Kwa maisha ya sasa (hatuishi zamani remember), bila at least kusoma na kuandika nitawezaje kutofautisha asprin na septrin pale ambapo wewe mume wangu mpenzi unaumwa hoi kitandani?
Nitawezaje kuchangia kipato cha kaya pale ambapo siajiriki au hata kumanage biashara ya kupamba kumbi za shughuli.
Elimu iwe chini ya miti au online ni elimu tu; level inaendana na mahitaji. Nikitaka kuwa lecturer PhD inahusika, nikitaka kuwa mama wa nyumbani basi kama sio Home crafty hata kuangalia mzazi alikuwa ana manage vipi ni elimu.
Kaunga ,kwa upande wangu,kuwa mke bora hakuhitaji elimu ya darasani
'
Our for fathers walikua wazuri sana kwenye mambo ya malezi na kuheshimiana lakini hawakugusa hata zile shule za chekechea
'
Umuhimu wa elimu ya darasani upo ila kwa baadhi ya maeneo ya maisha tu
'
Hakuna elimu bora kama ya Utambuzi kwa mwanadamu,elimu hii haipo huko kwenye ma masters!
 
Last edited by a moderator:
I don't think so... Baba anajitahidi kum-hamasisha binti yake asome..lakini maneno yanaweza jenga hisia kuwa viumbe wa kike ni tegemezi kwa waume.... Siwezi kumuhamasisha bint yangu ki-hivyo.... Elimu na mume ni vitu viwili tofauti... Ma-bint wanatakiwa kusoma ili kupata maarifa na mbinu za kupigana na umasikini... Mambo ya mume na mapenzi vipo kivyake..labda tu kama akili ya mwanamke ni ya mgando na tegemezi kwa mwanaume kama golikipa...

Said it all.
 
Sema akina dada wengi wakishapata elimu wanakuwa too arrogant inakuwa ngumu kupata waume!

Angalia akina dada waliomaliza sTd 7 na form 4 karibu wote wameolewa!

Angalia wenye Masters na PhD... waliiolewa ni wachache halafu hata ndoa zao hazidumu!
 
ha ha ha, hivi ukiwa na degree 3 ndio humtaki Paw?

Yaani digrii zinavyoongezeka ndio namtaka mateka tule pesa zetu wote.

Mmh, mateka yuko hapa ananikodolea kodokodo, utakuwa na fake version.

Siku hizi umekuwa tapeli kunizidi. Nna mpango wa kupingulua urafiki usije ukanitapeli.

Afu usimtafute mateka, jana kalala kwangu. Namuamsha anywe supu, tumalizie branch-glory then atakuja.
 
Kwa maisha ya sasa (hatuishi zamani remember), bila at least kusoma na kuandika nitawezaje kutofautisha asprin na septrin pale ambapo wewe mume wangu mpenzi unaumwa hoi kitandani?
Nitawezaje kuchangia kipato cha kaya pale ambapo siajiriki au hata kumanage biashara ya kupamba kumbi za shughuli.
Elimu iwe chini ya miti au online ni elimu tu; level inaendana na mahitaji. Nikitaka kuwa lecturer PhD inahusika, nikitaka kuwa mama wa nyumbani basi kama sio Home crafty hata kuangalia mzazi alikuwa ana manage vipi ni elimu.
Kuna suala la kuwa mke bora na kuwa mwanamke bora. Kama ni kuwa mke bora kwa kweli hakuhitaji uwe na PHD kwa sababu sio kila mwanamke bora huwa mke bora.

Elimu ni ya muhimu sana ila usitafute elimu kwa sababu ya kujihami na mume utakayempata kwamba atakuacha au akipata kughafirika utamuacha ili utunze watoto. Naamini tafuta elimu kwa manufaa yako na usiitumie kama fimbo ya kumchapa mumeo kwani ukiitumia hivyo haiyumkini yatakukuta unayojihami nayo na hautafaidika na hiyo elimu yako.

Elimu yapaswa kukupatia nyumba bora, mume au mke bora elimu siyo kigezo katika ndoa. Pia elimu yapaswa kukupatia mahitaji yako vema. Masuala ya watoto hayahisiani na ndoa, tazama ndoa nyingi za hao wenye elimu hebu tazama tu wala usichoke.
 
na maneno kama haya toka kwa mzazi, yanamfanya binti asiamini katika ndoa.

Hata akiingia kwenye ndoa, kwa sababu tu ana elimu na kujitegemea kiuchumi, option ya kuondoka kwenye ndoa kwake itakuwa rahisi sana kuichukua sababu kaaminisha elimu ndio mmewe.

Hebu tuwasisitize binti zetu kusoma bila kuwaathiri kiakili kuwa mume si lolote. Mbona kuna watu wana waume wazuri utadhani shamba la mfano? Mfano mzuri ni Dark City.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhh,

Hii endorsement mbona ni kubwa mno Kongosho?

Au kuna invoice nyuma yake??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo baba yuko sahihi kabisa....watoto wakasome kwanza....Mambo ya wanaume baadaye...

Hizi habari za kukimbizana na wanaume/ndoa kabla ya ku-exploit potentials zote za shule ni upuuzi....

Siyo fair kuanza kumjaza mtoto mineno ya mapenzi na ndao kabla ya kupiga shule ......Ndiyo maana kuna watu wana kesi ya kujibu kwenye mahakama yetu ya 1947....

CC.. snowhite, Nyamayao....etc!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke ni muhimu katika jamii, elimu ndio ufunguo wa maisha ikiwa mwanamke amesoma na jamii itabadilika, kusoma sio lazima uwe na Phd bali ni moja ya njia ya ufunguzi wa akili kuweza kufanyakazi na kupambanua kwa haraka
Mimi ninakushauri usome kwani elimu haipotei na haiwezi kuchukuliwa kutoka kwako, pia itakusaidia katika maisha yako na huyo atakaekuwa mume wako itakusaidia wewe, malezi ya watoto wako na mume wako
 
binadamu wanaweza kuendelea kuwepo bila elimu, ila mwanadamu hawezi kuendelea kuwepo bila mwanamme.

Au mnataka tu-extinct? Sijaelewa.

Labda uelewa wetu wa 'elimu' ni tofauti.
Kwenye point yako ya msingi "mume ni muhimu zaidi ya elimu"; labda kama goal yako ya msingi ni kuolewa. Lkn kama una ndoto zozote za kuleta mabadiliko ktk jamii unahitaji elimu.
 
Siku hizi umekuwa tapeli kunizidi. Nna mpango wa kupingulua urafiki usije ukanitapeli.

Afu usimtafute mateka, jana kalala kwangu. Namuamsha anywe supu, tumalizie branch-glory then atakuja.
sitaki kuamini leo hujalala nyumbani babaaaaaaaaaa umeenda safari dada nae karuka ukuta.
....
 
litakudodea, si unakumbuka digrii haitunzi mme?

Mwaya, degree inakupa plan A na B ya maisha hata mme asipokuwepo.

Kwani ww unajionaje? Mme ana nafasi gani maishani mwako ukimlinganisha na digii au kazi?
Kongosho, kuna idadi ya kutosha ya wanwake wenye Degree lakini wanasihi kwenye ndoa ngumu wakinyanyaswa na waume zao huku wakisema hewala Bwana.....
Wakati mwingine mie huwa najiuliza maswali mengi pasipo majibu kwamba wanawake hawa walikwenda shuleni kufanya nini?

Huku ni kutojiamini na kuwa na degree haimaanishi kwmaba mtu anajiamini kwani hata huku makazini wapo wanaume kwa wanawake wana degree zao lakini hawajiamini mpaka unawaonea huruma.

Kutojiamini ni janga linalowatafuna wengi.......
 
Last edited by a moderator:
Elimu ina nafasi yake katika maisha yako ila aiwezi kukutimizia mahitaji yako yote. Kwa hiyo mume ndio kitu katika maisha yako. Mume anao uwezo wa kukutimizia mahitaji yako yote ya nafsi na roho
 
Back
Top Bottom