Elimu ndo mume??

Elimu ndo mume??

bidodo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
217
Reaction score
90
Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako. Kuolewa ni

rizki too after mafanikio ya mume elimu. Jamani kweli hiii lakini. Maana generation za sasa tunabanwa sana na wazeee

tusiolewe mpaka tumalize degree. Jamani hembu ushauri kidogo. Baba yuko sawa hapa????
 
Yupo sahihi, fanya jambo moja kwa wakati mmoja. Na ni ukweli kuwa ndoa za siku hizi nyingi zinavunjika. Imagine umeolewa wakati unasoma na umejongezea majukumu as a result unafeli halafu miaka miwili baadaye unaachika. Huoni kama utakuwa umekosa vyote? Pata degree yako then olewa ila kuwa na suala la nani anafaa unaweza kulianza wakati bado unasoma
 
litakudodea, si unakumbuka digrii haitunzi mme?

Mwaya, degree inakupa plan A na B ya maisha hata mme asipokuwepo.

Kwani ww unajionaje? Mme ana nafasi gani maishani mwako ukimlinganisha na digii au kazi?

Elimu ndo mume mpenzi, kwanza hao 2naowaita "mume" siku hizi hawapo. mskilize baba coz kaona mambo mengi kukuzidi.
 
Ok thanks for advise Mpitagwa kweli ehh baba yuko sahihi also u thanx
 
Last edited by a moderator:
Ok Queen kan nitafanya hivyo mpenzi shukran kwa ushauri
 
Last edited by a moderator:
Baba yako as a man himself, knows better!

not only knows better but has seen a lot.
mpaka ana air out this tayari ana reference mbili tatu kichwani.
For me kazi yangu inayoniingizia kipato halali ni mume wangu wa kwanza, and baba Klein anafwata kama mume wa kufanya complete set tu. But niliyefunga nae ndoa wa kwanza ni kazi yangu ambayo ni output ya elimu yangu.
 
Binti bado anaogelea kwenye romance ya penzi bichi la kitamthilia ndio maana.
not only knows better but has seen a lot.
mpaka ana air out this tayari ana reference mbili tatu kichwani.
For me kazi yangu inayoniingizia kipato halali ni mume wangu wa kwanza, and baba Klein anafwata kama mume wa kufanya complete set tu. But niliyefunga nae ndoa wa kwanza ni kazi yangu ambayo ni output ya elimu yangu.
 
Piga Kitabu binti! Baba yuko sahihi elimu ndio ufunguo wa maisha. Mume anaweza kukutema akahamia nyumba ndogo au hata kuchukua kitu kipya lakini ukiwa na elimu yako basi hutakonda kupita kiasi maana bado utakuwa na uwezo wa kujitegemea tena kwa uhakika hata njemba ikiingia mitini. Kila la heri katika masomo yako.

Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako. Kuolewa ni

rizki too after mafanikio ya mume elimu. Jamani kweli hiii lakini. Maana generation za sasa tunabanwa sana na wazeee

tusiolewe mpaka tumalize degree. Jamani hembu ushauri kidogo. Baba yuko sawa hapa????
 
hayo ni maisha ya baba
tunatofautiana mitazamo na preference.

As much as elimu ni muhimu, mwanamme ni wa muhimu zaidi. Mtu anaolewa na elimu/kazi yake baada ya mme halisi ama kukosekana ama kushindwana.

Hii haiwahusu wale waliamua kuwa waseja.

Elimu ndo mume mpenzi, kwanza hao 2naowaita "mume" siku hizi hawapo. mskilize baba coz kaona mambo mengi kukuzidi.
 
Elimu kwanza hayo mengine baadae

hata usipokuja olewa elimu yako itakusaidia
 
Siku hizi umekuwa tapeli kunizidi. Nna mpango wa kupingulua urafiki usije ukanitapeli.

Afu usimtafute mateka, jana kalala kwangu. Namuamsha anywe supu, tumalizie branch-glory then atakuja.
hayo ni maisha ya baba
tunatofautiana mitazamo na preference.

As much as elimu ni muhimu, mwanamme ni wa muhimu zaidi. Mtu anaolewa na elimu/kazi yake baada ya mme halisi ama kukosekana ama kushindwana.

Hii haiwahusu wale waliamua kuwa waseja.
 
not only knows better but has seen a lot.
mpaka ana air out this tayari ana reference mbili tatu kichwani.
For me kazi yangu inayoniingizia kipato halali ni mume wangu wa kwanza, and baba Klein anafwata kama mume wa kufanya complete set tu. But niliyefunga nae ndoa wa kwanza ni kazi yangu ambayo ni output ya elimu yangu.
Yupo JF, na anaijua ID yako ya JF, na anasoma comments zako za JF.
 
Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako. Kuolewa ni

rizki too after mafanikio ya mume elimu. Jamani kweli hiii lakini. Maana generation za sasa tunabanwa sana na wazeee

tusiolewe mpaka tumalize degree. Jamani hembu ushauri kidogo. Baba yuko sawa hapa????
Elimu ni kaufunguo tu ka maisha, na sio mlango wa maisha, milango ya maisha iko waaazi hatuitaji funguo.....hahahaha..
Soma kwa bidii elimu itakusaidia kuweza ku survive independently.
 
Mtambuzi nakumbuka kwenye gazeti la Jitambue,nadhani ni la mwaka 2004 kuliwahi kuwekwa mada kuhusu utafutaji wa hela
'
Paliwekwa picha ya noti ya elfu kumi nadhani,halafu chini ya ile picha pakawekwa maneno "hatufundishwi shuleni namna ya kuzitafuta hizi"
'
Hebu fukua makabrasha yako halafu uweke hapa inaweza kutusaidia kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom