Elimu ndo mume??

Elimu ndo mume??

ha ha ha, hakuna invoice wala nini.

Ni kutambua mchango wako kwa maisha ya bibi, unadhani kubeba matenga ya nyaya na magunia ya mkaa ni kazi ndogo?

Duuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhh,

Hii endorsement mbona ni kubwa mno Kongosho?

Au kuna invoice nyuma yake??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kaunga ,hujanielewa,nimekupa mfano wa mababu nilikua nakupa hali halisi ya ubora wa ubinadamu bila elimu ya darasani
'
Mtu hawi binadamu bora kwa kwenda darasani bali kujitambua
'
Matatizo yanayooneshwa na "wasomi" yanaitia elimu kinyaa
'
Ubora wa binadamu ulikuwepo kabla ya elimu ya darasani kuwepo!
 
Last edited by a moderator:
Elimu ina nafasi yake katika maisha yako ila aiwezi kukutimizia mahitaji yako yote. Kwa hiyo mume ndio kitu katika maisha yako. Mume anao uwezo wa kukutimizia mahitaji yako yote ya nafsi na roho
Akifa je?
Mimi na elimu ndio kweli mwili mmoja, na nitazikwa nayo. Mume anazikwa kaburi lake na mimi la kwangu.
 
Hao mababu ni fantasy tu ambayo tunapenda kuifikiria. Nani alisema theirs were the best maisha ya ndoa kuliko zetu?
Walicheat, kuna walikuwa macoward wakakimbia familia zao?
Kaunga ,hujanielewa,nimekupa mfano wa mababu nilikua nakupa hali halisi ya ubora wa ubinadamu bila elimu ya darasani
'
Mtu hawi binadamu bora kwa kwenda darasani bali kujitambua
'
Matatizo yanayooneshwa na "wasomi" yanaitia elimu kinyaa
'
Ubora wa binadamu ulikuwepo kabla ya elimu ya darasani kuwepo!
 
Last edited by a moderator:
nilipokuwa shule elimu ndo alikuwa mume wangu

kwa sasa hivi ni waume wawili....

Mume wangu wa kwanza ni ofisi yangu...

Mume wa pili ni mai hazibendi
 
Mke wangu Kaunga kwani hapa tunazungumzia nini?
'
Halafu leo unajitoa akili eeeeh!Unajidai kuwa hujui matatizo ya kizazi hiki eehh!
 
Last edited by a moderator:
Mke wangu Kaunga kwani hapa tunazungumzia nini?
'
Halafu leo unajitoa akili eeeeh!Unajidai kuwa hujui matatizo ya kizazi hiki eehh!

Mume ni muhimu sana tu, na elimu ni muhimu sana pia!
Kizazi hiki ndicho tunachokijua vizuri mimi na wewe. Cha mababu ni story tu tunasimuliwa, kwa malengo ya msimuliaji. Sodoma na Gomora ni kizazi chetu? Enzi za Nuhu ni kizazi hiki? Solomon alikuwa na concubines wangapi? Ni kizazi chetu?????
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhh,

Hii endorsement mbona ni kubwa mno Kongosho?

Au kuna invoice nyuma yake??

Babu DC!!
ahahahahahhahaha babuuuuu una akili wewe!
kama mimi mjukuu wako
sema tu sikukusililiza ulivokuwa unasema nisome kwanza
mi nilimiski vyote vyote bana at 16 na kakid at 22 ndoa at 30 miaka 8 ya ndoa!
uuuuuwih i hope binti yangu hasomi hii makitu hapa!ntaliaje!
ila wa aina ya mimi na Nyamayao tupo wachache sana babu!
na sidhani kama inahalisikia fasta fasta!ila ndo hvyo so mimi sio mwalimu mzuri kweny hili i see wala msiniruhusu niwe Mentor katika hili!please!
,mfano wangu unafaa kwa bnti yakiwa yameshamkuta sio akiwa bado kigori ataona ni rahs sana mbon huyu kaweza kumbe ilikuwa ngumusana i see!mume wa aina ya mtuhumiwa wake Dark City sijui kama badio wanaexist (af mke mwenywe uuuuwih i love the fact ananipenda licha ya ufyatu huu nilionao)
MABINTI PIGENI SHULE SHULE SHULE SHULE!
 
Last edited by a moderator:
Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako. Kuolewa ni

rizki too after mafanikio ya mume elimu. Jamani kweli hiii lakini. Maana generation za sasa tunabanwa sana na wazeee

tusiolewe mpaka tumalize degree. Jamani hembu ushauri kidogo. Baba yuko sawa hapa????

Ni kweli kabisa, wanaume wenyewe siku hizi hawaeleweki ni dizaini ya mzabzab, heri usome upate chako hata ukikutana na wanaume dizaini hii upate pa kuegemea
 
Last edited by a moderator:
Kadri unavyoongeza kiwango cha elimu ndivyo unavyozidi kuwa mateka wa elimu!!!

Degree moja bhaaaasi then pigana na maisha labda kama una malengo ya kiacademia sana endelea lakini utaishia utumwa wa tafiti,kuandika vitabu n.k
 
Wazazi wa siku hizi wanawaambia mabinti zao soma na MBA kabisaaaa ndio nisikie habari ya mchumba!!!

ndio maana shule za MBA siku hizi hadi vichochoroni maana tunasoma tuuuuuu kujaza vyeti bila mpango!
 
Ni kweli kabisa, wanaume wenyewe siku hizi hawaeleweki ni dizaini ya mzabzab, heri usome upate chako hata ukikutana na wanaume dizaini hii upate pa kuegemea

mie nashukuru sana kama wanawake wataendelea kusoma...maana watapata ufahamu wa kuwa wakina mzabzab wapo wengi hapa duniani. that said ni bura mwanamke ukajisomea na kujiwezea mwenyewe. unakamatia wakina mzabzab kugegedana tuu....both parties enjoy and no hard feelings
 
"Personality is the particular combination of emotional, attitudinal, and behavioral response patterns of an individual."

Education as the major factor of personality improvement comprehends all results that are outcomes of learning. Education always help to improve capability of the individual and/or group.

Since education makes someone to be skillful , i.e ability to do something well , it is better to be educated before you continue with other things. For example to get a job, a person must know how to write application, resume, how to face interview and many more. To keep a job a person must also needs to know how to go along with peers, superiors, subordinates and other authorities and provide timely,responsible and consistent work performance.

Even in normal daily life at our homes, like if you want to have a good care of wife/ husband and family education stands as a major factor in order to be successful .

That being the case , Tulia mdogo wangu usome mpaka mwisho wa vidarasa. Usikimbilie maisha yapo tu.

Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako. Kuolewa ni

rizki too after mafanikio ya mume elimu. Jamani kweli hiii lakini. Maana generation za sasa tunabanwa sana na wazeee

tusiolewe mpaka tumalize degree. Jamani hembu ushauri kidogo. Baba yuko sawa hapa????
Sasa mbona wewe nawe unashangaza...wewe ni msomi unashibdwa kupambanua mambo kwa kutumia lugha ya picha anachomaanusha mzee wako ni kwamba elimu ni muhimu kwako haop katumia lugha ya oicha kumaanisha unatakiwa uipende kama vile utakavyompenda mumeo..saasa kAma wewe ni msomi kitu kidogo ka hcho kinakusumbua si utakua namatazizo weee....
 
Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako. Kuolewa ni

rizki too after mafanikio ya mume elimu. Jamani kweli hiii lakini. Maana generation za sasa tunabanwa sana na wazeee

tusiolewe mpaka tumalize degree. Jamani hembu ushauri kidogo. Baba yuko sawa hapa????
Hebu na hii elimu itusaidie sasa maana inaonekana hata tukiwa na PhD, bado hatuelewi elimu ni nini na mume ni nini. Hii ni jambo baya sana na la kusikitisha. Hivi hizo zero za kidato cha nne zinashangaza nini ikiwa hata wale waliopata one na wana shahada tena sio moja wanasema elimu ndio mume? Huu ni ujinga wa kutoelewa elimu ni nini na mume ni nini isipokuwa ni kutafuta namna ya kupata kisingizio tu kuwa siolewi kwa sababu nina elimu kubwa...pumbaaav, nani alikwambia elimu ndio mume? Ingekuwa hivyo hao wanawake wenye degree zao wanaolazimisha "kupandwa" na vijana wa kijiweni wasiojua hata hilo darasa ni nini nao utasema elimu kwao ni nini? Kwa taarifa yako, pata vyoooote duniani lakini usikose "kupendwa" au "kukubalika" anagalau hata na mtu mmoja ambaye atakuona nawe "umo" panoja na elimu yako. Hapa mnasema elimu ndio mume kwa kumaanisha maisha ya kizamani kuwa mume ndio kila kitu kwenye familia, sio kweli nyakati hizo zimepita, badilikeni!!! Elimu itasaidia kukufumbua macho na kuwa mjuzi wa mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na ustaarab wa kuishi na huyo mume, cha ajabu eti elimu ndio mume basi hata asiyesoma kabisa akiolewa tu akapata mume tayari atakuwa amepata elimu maana elimu = mume, then mume = elimu, ni simple math tu.
 
ahahahahahhahaha babuuuuu una akili wewe!
kama mimi mjukuu wako
sema tu sikukusililiza ulivokuwa unasema nisome kwanza
mi nilimiski vyote vyote bana at 16 na kakid at 22 ndoa at 30 miaka 8 ya ndoa!
uuuuuwih i hope binti yangu hasomi hii makitu hapa!ntaliaje!
ila wa aina ya mimi na Nyamayao tupo wachache sana babu!
na sidhani kama inahalisikia fasta fasta!ila ndo hvyo so mimi sio mwalimu mzuri kweny hili i see wala msiniruhusu niwe Mentor katika hili!please!
,mfano wangu unafaa kwa bnti yakiwa yameshamkuta sio akiwa bado kigori ataona ni rahs sana mbon huyu kaweza kumbe ilikuwa ngumusana i see!mume wa aina ya mtuhumiwa wake Dark City sijui kama badio wanaexist (af mke mwenywe uuuuwih i love the fact ananipenda licha ya ufyatu huu nilionao)
MABINTI PIGENI SHULE SHULE SHULE SHULE!

mie nasemaje, kama mtu anaweza kumaliza mambo muhimu kabla ya kuingia kwenye ndoa ni poa sana, shule jamani, wengine tulibeba mimba tukiwa chuo, ni kimbembe aisee, lakini tulibotoa kikaeleweka, hahahah
 
umeona enh sweetheart!
bora wewe chuo mwenzio shule!
its not something to be pruoud of but it made me strong ile mbaya,huwa nikikumbuka nilivopiga shule nilivokuwa A'level ahahahhah ilinishape ile mbya!utundu wote kapuni!
ila kuna vitu naamini nisisngekuwa na aina ya wazazi nilionao isingekuwa the way it was!mabinti wasome i see!wasome tuu!mume aina ya msukuma wako na mheshimiwa wangu kwa kizazi hikicha hawa watoto hawapo!ila hawalielewi hawa!lol
 
iliniuma sana nilivyomuacha mtoto wangu wa wiki kadhaa kurudi chuo, halafu ilikuwa imenikamatia pabaya kweli, nisingerudi kumaliza kipisi kilichobaki ningerudia mwaka, hapo pia namshukuru sana msukuma aise, mana alinipa moyo wa ajabu, niliona kama siwezi kabisa kusoma tena, alikuwa ananipa moyo sana aisee, pamoja na kukubali nimuache mtoto wake kwa roho nyeupe, duu.
 
Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako. Kuolewa ni

rizki too after mafanikio ya mume elimu. Jamani kweli hiii lakini. Maana generation za sasa tunabanwa sana na wazeee

tusiolewe mpaka tumalize degree. Jamani hembu ushauri kidogo. Baba yuko sawa hapa????

Mimi nina mabinti wakubwa na ninachowahubiria kila siku ni hicho. Elimu kwanza, kujitegemea halafu ndio uanze family. Sitaki mkwe wa kuja kujitapa kuwa anamlisha mwanangu. Watasaidiana. Na huwezi kusaidiana na mtu kama mwenyewe hujimudu. Darsa maridhawa kabisa.
 
Elimu kwanza mdogo wangu.Hakuna raha kama mwanamke kuwa na cheti chako au vyeti vyako.Mwanaume just to complete your happiness in the world.Kwa mimi ninayeamini biblia kuna mstari usemayo Mshike sana elimu usimwache aende zake.Tafakari, chukua hatua
 
Back
Top Bottom