Elimu ndo mume??

Elimu ndo mume??

Yupo sahihi, fanya jambo moja kwa wakati mmoja. Na ni ukweli kuwa ndoa za siku hizi nyingi zinavunjika. Imagine umeolewa wakati unasoma na umejongezea majukumu as a result unafeli halafu miaka miwili baadaye unaachika. Huoni kama utakuwa umekosa vyote? Pata degree yako then olewa ila kuwa na suala la nani anafaa unaweza kulianza wakati bado unasoma
anayefeli kwa sababu kaolewa ni kilaza tu mwenyewe......
siku hizi watu kibao wanasoma na wapo ndani ya ndoa......
 
anayefeli kwa sababu kaolewa ni kilaza tu mwenyewe......
siku hizi watu kibao wanasoma na wapo ndani ya ndoa......
FP sijakataa uwepo wa vipanga, ila katika mjadala tunamwangalia mtu wa kawaida mwenye akili za wastani. Kuna ndoa zingine ndoo zinaitwa ndoa ndoana. Kwa kuona kwako unaweza ukatangaza hapa JF kuwa ndoa zote ni picnic yaani full shangwe, so mtu atasoma tu? Nasimamia hoja yangu, kwa kuwa kwenye ndoa bado hajaingia ni vema akamaliza shule kwanza
 
aah! tusipotoshane hapa! tangu lini elimu ikawa 'mume'? elimu ni elimu na mume ni mume jambo la msingi ni binti kupiga kitabu na kuacha kuendekeza ngono kabla ya wakati wake! tukiita 'elimu' n mume na 'mume' tutamuitaje? 'elimu'? angalieni tusiwajengee mabinti zetu misingi mibovu ikafika wakati wa kuwa katika ndoa wakashindwa kujua misingi ya ndoa badala yake wakaishi ktk ndoa kielimu zaidi.

halafu ndio yaleyale unamwambia mwanao 'condom' ni puto la kuchezea...siku moja mwanao anaona 'used condom' iko chini anaiokota na kuanza kuipuliza akijua ni puto la kuchezea!
 
elimu ni mpango wa maisha si ufunguo wa maisha. ulitaka usome mpaka degree ngapi? Mi nadhani shika moja (ELIMU) muombe MUNGU akupe mume anayekupenda maisha bila mke/mume heshima ya mtu upungua.mwisho upewa majina mengi.kama unakifiria hivyo soma na maandiko ya MUNGU YAKUSAIDIA
 
Mimi nina mabinti wakubwa na ninachowahubiria kila siku ni hicho. Elimu kwanza, kujitegemea halafu ndio uanze family. Sitaki mkwe wa kuja kujitapa kuwa anamlisha mwanangu. Watasaidiana. Na huwezi kusaidiana na mtu kama mwenyewe hujimudu. Darsa maridhawa kabisa.

Haya mzee endelea na mabinti wako utashuhudia mwisho wake
 
"Personality is the particular combination of emotional, attitudinal, and behavioral response patterns of an individual."

Education as the major factor of personality improvement comprehends all results that are outcomes of learning. Education always help to improve capability of the individual and/or group.

Since education makes someone to be skillful , i.e ability to do something well , it is better to be educated before you continue with other things. For example to get a job, a person must know how to write application, resume, how to face interview and many more. To keep a job a person must also needs to know how to go along with peers, superiors, subordinates and other authorities and provide timely,responsible and consistent work performance.

Even in normal daily life at our homes, like if you want to have a good care of wife/ husband and family education stands as a major factor in order to be successful .

That being the case , Tulia mdogo wangu usome mpaka mwisho wa vidarasa. Usikimbilie maisha yapo tu.


Sawa msomi na kiinglishi chako
 
Let me top up hapa my dear sisy elimu ninzuri kuwa nayo tena sana mana itakusaidia hata kureason vitu bt elimu si mume si ndoa na ndoa si kipaimara mama usikurupuke muda ukifika utapata right person at right tyme

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom