Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

Ndo maana walitusomesha ili tusinyanyasike....mimi bibi yangu hana sikio moja mpaka sasa alimfuma babu na kimada akazira hakupika skan babu kurudi anakuta msosi tee eti bibi kajinunisha alilambwa panga la sikio
Mwanaume anatafuta sana hela ili akizipata atulie na mwanamke

wakati mwanamke anaamini akipata pesa ndio fursa ya kujiweka mbali na wanaume

Scars
 
Halafu mke akikufanyia yote hayo ndiyo hutachepuka
Kwanza mwanaume kutochepuka ni ufala. Mwanaume unakuwaje na mwanamke mmoja bwana wewe??!!

Ata wewe mwanaume hudumia mke wako ipasavyo lakini kamwe usijidanganye kuwa hata chepuka. Hamna mbususu yako peke yakodunia ya sasa. Wanawake wenyewe hawa tunaoa breki pum.bu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwanza mwanaume kutochepuka ni ufala. Mwanaume unakuwaje na mwanamke mmoja bwana wewe??!!

Ata wewe mwanaume hudumia mke wako ipasavyo lakini kamwe usijidanganye kuwa hata chepuka. Hamna mbususu yako peke yakodunia ya sasa. Wanawake wenyewe hawa tunaoa breki pum.bu
Duuh huwa sikubaliani na mitazamo yako ila napenda the way uko rational na unakubaliana na ukweli kwamba mla vya watu na vyake huliwa. Siyo wenzio wanaotaka kula vya wenzao tu ila vya kwao hawataki viliwe.
 
Duuh huwa sikubaliani na mitazamo yako ila napenda the way uko rational na unakubaliana na ukweli kwamba mla vya watu na vyake huliwa. Siyo wenzio wanaotaka kula vya wenzao tu ila vya kwao hawataki viliwe.
Asante kwa kulitambua hilo.
Binadamu tunakuwa na matarajionya ajambu sana some times ndio tatizo
 
Kuna ka mwananke kako apa jiran angu cjui anauza chakul magomeni jmn Ana mdomo mbaya akianza kubwatuka utasikia ngoja nikatafute mayai ya kienyeji cjui nipate na chai ya maziwa au anasem nimechoka kukah nyumb za kupanga ila mwak mzima
 
Ili mahusiano yawe imara mwanaume lazima awe juu ya mwanamke katika kila nyanja, kiumri, kiuchumi, kielimu nk. Hawa wanawake walikusudiwa na Mungu wawe chini tena chini kabisa ndio wanakua na heshima kwa mume na atomatic mume atampenda mkewe na wataishi kwa furaha na amani TELE.

Hakuna watu wanafiki kama wanaume waliooa wanawake wenye vijielimu na viajira. Wataigiza igiza watakudanganya kua ndoa ziko imara ila ukweli ndoa za kuoa mwanamke mwenye kiajira na kaelimu HAZINA AMANI HAPA PUNJE. Ni mashindano, kutunishiana misuli, migogoro isiyoisha nk.

Mwanamke hakuumbwa kua mmiliki wa mali akipata kamali kokote lazima ajimwambafy mpaka akhera kumsikie. Hata hawa vifeminist vya humu jf vikina cariha , Miss Natafuta nk hivi vyote utakuta ni vinesi na vimwalimu vya shule ya msingi. Mwanamke hata awe na kamshahara ka laki sita atajimwambafy kejeli na dharau utadhani CEO wa Microsoft haa ha ha

Kijana oa mwanamke mrembo, mwenye elimu ya kawaida na asiye na ajira utakuja kunishukuru hawa wenye masters wacha waolewe na masters zao. Kuna jamaa yetu alikua anajifanya mr. malove love akaoa kamwanamke kamwanasheria kana masters waliachana ndani ya miaka 2 tu.

Usioe mwanamke mwenye ajira eti kusaidiana maisha, kwanza kwa vijihela vyake vya kununulia chupi atakudharau, atakusimanga, na wala hata kusaidia kwa lolote wanamake ni wabinafsi wa kutupwa. Oa mwanamke utakae mhudumia na kumtunza ATAKUHESHIMU na automatically UTAMPENDA na hivyo ndio ilipasa kua.

Wanawake wasomi na wenye hela wasioolewa na umri umekwenda sema kama 38 kuendelea hua wapweke sana, na kwa hasira na uchungu wao huwajaza sumu wasichana wadogo ili nao waharibikiwe kawa wao.


=====

Kupata maoni zaidi soma:Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!
Ni ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom