Njia nyingine 10 za kumtambua mwanamke asiyefaa

status quo

Member
May 6, 2011
87
38
NJIA NYINGINE 10 ZA KUMTAMBUA MWANAMKE ASIYEFAA.
1. Mwanamke ambaye anaweka picha Facebook akiwa nusu uchi, akionyesha yeye Makalio yake, Nk. MWANAMKR HUYO NI MALAYA! JIHADHARI!

2. Mwanamke ambaye anamdanganya mumewe au mpenzi wake na Kujileta kwako. “Maana mume wangu hayumo nyumbani, Amekwenda safari ya mbali;”— Mithali 7:19 (Biblia Takatifu)JIHADHARI! HUYO MWANAMKE HAKUFAI NI MALAYA NA ATAKUPELEKA KUZIMU!

3. Wanawake ambao wanapenda kutumia muda katika klabu na nyumba za starehe wakati wakiacha watoto nyumbani wakiwa na watu wengine. HAO WANAWAKE NI HATARI NA MAKAHABA! JIHADHARI NDUGU.

4. Wanawake ambao wanavaa Mavazi yasiyo na Heshima katika mzingira ya ki-familia au wakati unapowapeleka nyumbani ili kukutana na familia yako. HUYO MWANAMKE HAKUFAHI NI KAHABA! JIHADHARI NDUGU.

5. Wanawake ambao wanapiga video za kucheza kwenye mtandao, nusu ya uchi inayoonyesha sehemu zao za faragha. JIHADHARI! KABLA YA HATARI MWANAMKE HUYO NI MALAYA!

6. Wanawake ambao wanajisifu kwa uwazi hadharani juu ya jinsi walivyo hodari kitandani. JIHADHARI! HUYO MWANAMKE NI KAHABA! KIMBIA NDUGU “Nimetia kitanda changu manukato, Manemane na udi na mdalasini.”— Mithali 7:17 (Biblia Takatifu).

7. Mwanamke ambaye anayetaka wanaume wenye pesa au watu maarufu. JIHADHARI! MWANAMKE HUYO NI MALAYA!

8. mwanamke ambaye hana aibu kuleta kila aina ya wanaume nyumbani karibu na watoto wao. JIHADHARI! HUYO NI MWANAMKE ASIYEFAA HATA KIDIGO!

9. wanawake ambao hawana au haoni tatizo kufanya ngono na mtu zaidi mmoja kwa wakati mmoja. KIMBIA! JIHADHARI! HUYO ANA PEPO WA NGONO ATAKUHARIBU NA KUKUPELEKA KUZIMU! HUYO NI KAHABA ALIYEKUBUHU!

10. Wanawake ambao hawana ustaarabu mbele za watu wengi mbele ya umma au kadamnasi. Kulewa, kuropokaropoka, kutenda upumbavu mbele ya umma,NK. JIHADHARI HUYO MWANAMKE HAKUFAHI JITENGE NAE! MWOMBE MUNGU AKUPE MWINGINE MWENYE TABIA NJEMA! UTAKAYEMPATA MAHALA PEMA!
 
Back
Top Bottom